Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Wanaujua ukwel ila wabish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wamechoka sana
 
Tofauti ya Al Ahly na As Vita ni kwamba Al Ahly alikuwa anahitaji sare au ushindi ndio maana wakacheza kwa kurelax siku ile ila As Vita ili afuzu anahitaji ushindi tu.
 
Mleta mada watakuelewa tu baada ya dk 90 Siku ya J.mosi usiku. Sasa hivi bado wana kiburi, hila baada ya mechi akili yao itawarudia.
Wanakimbiaga hapa. Yaani kadri siku zinavyosonga ndio na wao wanazidi kupungua katika kuandika.

Wakipata matokeo ndio utawaona hapa jumapili tena wakiwa na POVU lao la kutosha.
 
Wanajua hawawezi kushinda wapo kutafuta sababu za kuwa walicheza wakiwa wamechoka, walipotoka algeria hawakukaa kambini na sababu zingine nyingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…