Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Sisi SimbaaaaIla Watani zangu mnachekesha sana lol. Ungekuwa uzi wa kuwasifia kwamba mtaondoka na goli nyingi ndio mngefurahi wenyewe. Aiseeeee.
KAENI MKIJUA KUFUNGWA NI SEHEMU KATIKA SOKA NA INAWEZEKANA MKAFUNGWA PIA. KWANI NYIE NANI? [emoji41][emoji41]
Tumekimbia wapWanakimbiaga hapa. Yaani kadri siku zinavyosonga ndio na wao wanazidi kupungua katika kuandika.
Wakipata matokeo ndio utawaona hapa jumapili tena wakiwa na POVU lao la kutosha.
Jumamosi ndio Mtajua kwamba nyie ni Simba wa Daslam. π
Mpo ila najua idadi itakayokuwepo Ijumaa si sawa na ile ya Jumamosi maana Presha tayati zitakuwa juu.
Tutakuwa bize kutafuta matokeoMpo ila najua idadi itakayokuwepo Ijumaa si sawa na ile ya Jumamosi maana Presha tayati zitakuwa juu.
Hao hao saidia baba wanakuumiza kichwa, by the way yanga ni timu ya wanachiBadala muangalie ni namna gani mnaisaidia timu Chura aka Saidia baaba ,mmerefusha midomo kama mnapuliza moto au ni watoto wa samaki chuchunge!Matumizi mabaya ya mawazo haya.
Hahahaaaaaaaa. Aiseeeeeeee.
Hawawezi kiniumiza kichwa.Vyura kila dakika mnaanzisha nyuzi kuhusu Simba badala ya kulima hata matikiti mjikimu na kujikwamua na njaa.Hao hao saidia baba wanakuumiza kichwa, by the way yanga ni timu ya wanachi
Siku Mo akimka akasema nataka wanaoipenda simba woote waandike saba vinginevyo sitoi pesa nadhani marinda mengi yatatatuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
CC. Watani zangu King Ngwaba , Mtoto halali na hela , Sapta Sapta , OKW BOBAN SUNZU , Krizy Beat, Sanchez magoli , 100 Likes jumamosi muwepo jamaani Updates mutazipatia hapa hapa.
Huo msemo ni wa Yanga, hauuhusu Simba... KATIKA SOKA NA INAWEZEKANA MKAFUNGWA PIA.
π π π Bado siku mbili Mtani.Simba piga Vita ili Yanga waendelee kutufatilia LIGI YA MABINGWA...
Tulishasema pale taifa hata wakileta play station tutaifungaCC. Watani zangu King Ngwaba , Mtoto halali na hela , Sapta Sapta , OKW BOBAN SUNZU , Krizy Beat Sanchez magoli jumamosi muwepo jamaani.
Al Ahly, Js Soura, As Vita ,Mbao, Mashujaa waliwafanya nini?Huo msemo ni wa Yanga, hauuhusu Simba
Langu jicho Mtani. Naombea jumapili nipate tu Chance ya kuingia humu.πππππTulishasema pale taifa hata wakileta play station tutaifunga
Tulishawahi kukuomba msaada? Wewe kama wewe unaichangia nini simba? Mwenzio najivunia kuchangia Yanga yangu .Hawawezi kiniumiza kichwa.Vyura kila dakika mnaanzisha nyuzi kuhusu Simba badala ya kulima hata matikiti mjikimu na kujikwamua na njaa.
Uku utakuwa mwnywCC. Watani zangu King Ngwaba , Mtoto halali na hela , Sapta Sapta , OKW BOBAN SUNZU , Krizy Beat, Sanchez magoli , 100 Likes jumamosi muwepo jamaani matokeo mutayapatia hapa hapa.
POVU LAJA. ππNdio natoka kwa babu goli mbili zimeng'ang'ania simba anapigwa tena kipindi cha kwanza. Nina 2K anayebisha aje na mzigo PM.
Kwa nini munifanyie hivyo sa. Muje tupeane Updates jamaani.