Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Al Ahly, Js Soura, As Vita ,Mbao, Mashujaa waliwafanya nini?

Au kwako tafsiri ya kufungwa imekaaje Mtani?
Kumbe unazungumzia kombe la Azam Confederation Cup na ligi ya bara? Zungumzia CAF Champions League kwa Mkapa
 
Na nyinyi muwepo mkishuhudia mauaji ya kimbari kutoka kwa mfalme wa nyika, Mnyama mkali kupita wanyama wote muungurumo wake mmoja tu ulitosha kumnyamazisha chura churani sasa ni zamu ya AS VITAMBI

Simba nguvu moja
Tuombe uzima Insha Allah ili pale yatakapokuwa kinyume nione utasingizia nini Mtani. Maana Wacongo si watu wazuri.
 
Tunajadili mechi ijayo weye umetuna kulazimisha Mo kwenye uzi.Kama anakuumiza roho sana jiunge Simba.Jadili mechi ijayo ya Simba maana kuyajadili ya Yanga huwezi.Halafu unasema Simba haijaisaidia Yanga?Vipi ile mechi ya juzi mliyoponea viingilio?Na kuhusu kuchangia timu hakuna haja ya kujitapa kama binti wa kiswahili anadanga.Kila mmoja achangie timu yake kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…