Wanamsikiliza yule domo kaya wao alisema eti hata ije Barcelona ya messi watashinda.ππMMMHH. I want to know hizo "any means" rafiki ndio zipi eti? π
Maana nisije kujipeleka tu kwa MKAPA kumbe As Vital hatupati ushindi. ππ
ukweli mchunguHao hao saidia baba wanakuumiza kichwa, by the way yanga ni timu ya wanachi
Siku Mo akimka akasema nataka wanaoipenda simba woote waandike saba vinginevyo sitoi pesa nadhani marinda mengi yatatatuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππusiwaambie jumamos hiyo siku inaitwa "yaumul shak"CC. Watani zangu King Ngwaba , Mtoto halali na hela , Sapta Sapta , OKW BOBAN SUNZU , Krizy Beat, Sanchez magoli , 100 Likes jumamosi muwepo jamaani Updates mutazipatia hapa hapa.
Anamaanisha Simba ni underdog kwenye hili kundi. So kama Vita watataka chao watakipata hata kinguvu japo Simba nao wanahitaji ushindi tu. Kwa hyo kwa harakaharaka anamaanisha Simba wana uwezo mdogo ukilinganisha na uwezo Wa VitaKwani Simba ili afuzu anahitsji sare? Kama ukijua anahitaji ushindi Basi Simba Ana umuhimu nayo Sana kuliko As vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haMMMHH. I want to know hizo "any means" rafiki ndio zipi eti? [emoji12]
Maana nisije kujipeleka tu kwa MKAPA kumbe As Vital hatupati ushindi. [emoji12][emoji12]
πππHawawezi kiniumiza kichwa.Vyura kila dakika mnaanzisha nyuzi kuhusu Simba badala ya kulima hata matikiti mjikimu na kujikwamua na njaa.
Mmeshaanza sasa ,mnataka kuwamwagia wachezaji wa vita upupu??Kipindi hiki sio cha lelemama, ikibidi hata fitina itumike. Ushindi ni lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha uzalendo wala fursa hapaSimba itaweka rekodi tena hapo kwa Mkapa jmosi na pia hii mechi si muhimu kwa Simba pekee ila pia soka la Tz kwa ujumla maana kusonga mbele kwa mnyama ni fursa kwa vilabu vingine vya Tz kupata nafasi zaidi ya kushiriki hii michuano hivyo acheni uchawi maana Simba imebeba hatima yenu.
hapo kwenye UNDERDOG toa weka underwear!Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Africa Nani kakwambia kuwa Kuna underdog ?Anamaanisha Simba ni underdog kwenye hili kundi. So kama Vita watataka chao watakipata hata kinguvu japo Simba nao wanahitaji ushindi tu. Kwa hyo kwa harakaharaka anamaanisha Simba wana uwezo mdogo ukilinganisha na uwezo Wa Vita
Nimecheka tu Mtani.Yanga mnafaidika na nini tukifungwa. Roho ya kimasikini
Vice Versa is true Mtani. ππ
Mtusamehe kama tunawakosea Mkuu wajua Utani wa Jadi tena.Hii mechi Simba tushinde tu maana kuna watu wametung'atia ulimi sijajua tumewakosea nini.
Usijali MtaniUlete yatakayojiri
Wanamsikiliza yule domo kaya wao alisema eti hata ije Barcelona ya messi watashinda.ππ
Msema kweli shafii dauda hawa wote wahamasishaj
Kwa hili mie acha niandae nguo zangu maana najua POVU LAJA. ππππAnamaanisha Simba ni underdog kwenye hili kundi. So kama Vita watataka chao watakipata hata kinguvu japo Simba nao wanahitaji ushindi tu. Kwa hyo kwa harakaharaka anamaanisha Simba wana uwezo mdogo ukilinganisha na uwezo Wa Vita