Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Tena sio makondoo mazima bali makondoo yaliyougua to the last point hayana namna ya kuepuka kifoUkiona kiongozi anapigiwa kura na kupata 100%, fuatilia vizuri mfumo wa uchaguzi, utakuta mengi nyuma ya pazia. Na kama kweli kapata 100%, basi jua anaoongoza makondoo.
Bila shaka wewe utakuwa team ufipa,team roho mbaya,mwisho wa uhai wa chadema ni October 2020
Kweli,maana bado nchi hii haijapata ukombozi wa kweliYa ndiyo. Kuogopa figisu
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Sasa wataja iweje, watu wangepigia kura nafasi ya uenyekiti makundi yangeibuka ndani ya chama.Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Kikao cha maamuzi mazito ndani ya chama anaendesha kama kikao cha kuvunja kamati ya send-off/harusi. Sijapenda kabisa.Mwenyekiti anaongoza kikao vile anavyojisikia utazani yuko kwny kikao cha usuluhishi yeye na mkewe anabwata tu
Kuna tofauti kubwa kati ya Mbowe na huku kwingine. Mbowe hana vyombo vya "kumshuhhulikia"anaye asi, lkn huku kwingine vipo. Hakuna aliye tayari kuipata shida hii.Nami nauliza kati ya Lumumba na ufipa wapi kuna misukule?
Maana wasiokubaliana na mbowe wanatoka hadharani na kumpinga ila wasiokubaliana na bwana yule yanawakuta mazito wanabaki kujiinamia chini na kupiga mapambio ya kuabudu, wala hawawezi kujikomboa ki fikra kwa kutetea Yale wanayoyaamini.
Muongo km tumba mbichi looh3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
Udikteta kamili sio dezo zwazwa ww
Mimi naona mnastahili kuburuzwa, acha awaburure mpaka akili iwakae sawa, kama chama ni chenu na katiba inaeleza wazi (kwa mujibu wa bashiru) kwamba palitakiwa kuwa wagombea watatu ili wapigiwe kura, ilikuwaje mkakubali katiba ikiukwe, anachukua fomu mtu mmoja halafu wakati wa kupiga kura anasimama hapo anawaangalia, nyie kwanini msimtoe awaachie chama ?, Demokrasia ni msamiati mgumu sana kwa sisi waafrika.Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??