Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

Ndiyo, tunalizimishwa na "mazingira" yaliyowekwa. Na ndiyo maana hata unaona baadhi wakilazimishwa na "mazingira" kuunga juhudi
Kina nani wanaolazimishwa hata kama hawataki?
 
Pole Tanzania, pole Tanganyika
 
Wacha wadundwe,mambo mengine ya kujitakia wao wenyewe.
Wao ndio waliuza utu wao kwa kukubali kupindisha pindisha kanuni na miongozo ya uongozi wa chama.
Pili walijiona mageuzi au mshike mshike za mjomba Magu haziwausu kumbe alikuwa anawalia timing tu.
Tatu haihitaji hata kura zao,au kelele zao,sana sana anafurahia ujinga wao.
 
Munasubiri nini????. Yaani ni ujinga wenu wenyewe kukubali kuburuzwa. Hamujui kujitetea au ndio mutakosa ruzuku ya UKADA.????.
 

Pambana na hali yako
 
Mpuuzi wewe, anaburuzwa nani? Na Hukute uanachart umekaa juu ya Flyover au unatarajiwa kusafiri na Ndege iliyonunuliwa na mzalendo, na Mambo Kibao
 
Wana ccm tunanyanyasika mwenyekiti kakiweka chama mfukoni .
 
Mpuuzi wewe, anaburuzwa nani? Na Hukute uanachart umekaa juu ya Flyover au unatarajiwa kusafiri na Ndege iliyonunuliwa na mzalendo, na Mambo Kibao
Wewe utakuwa ni mnufaika wa ubabaishaji unaofanywa ndani ya chama. Siwezi kubishana na wewe.
 

Mliipenda wenyewe,mlipoambiwa akiwamaliza wapinzani atakumalizeni hamkusikia
 
Hakika mkuu. Anaamua, anafanya, amfokea na kumtusi yeyote bila ya hofu
Chama Mali yake binafsi nyie ni wapangaji kwann msiburuzwe,hili trela teuzi zote ni za wahamiaji nyie endeleeni kusugua mabenchi
 
Mbona hata maalim self uwa anaitumia kwann ujawai kuona tatizo hapo?
 
Safari hii ni mwendo wa kuletewa wagombea kazi ya wanaccm ni kuchagua uwe unataka utamchagua umtaki utamchagua.
 

Hili trela,sio kila mtu ni wa kupewa leseni ya udereva mkadhani ni dereva.
 
Alishasema atafanya maamuzi kutokana na hiyo siku hiyo kaamkaje.Hivo mkuu awe anaombewa tuu aamke vizuri.
 
Nadhani uliuliza kwa nini wageni hao wa kuja wanathaminiwa zaidi nam jibu ulilipata. Acha chokochoko, hamia upinzani ukipitishwa ukashinda urudi nyumbani ili uthaminiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…