- Thread starter
- #241
Ndiyo, tunalizimishwa na "mazingira" yaliyowekwa. Na ndiyo maana hata unaona baadhi wakilazimishwa na "mazingira" kuunga juhudiKwani mnalazimishwa kuwa CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo, tunalizimishwa na "mazingira" yaliyowekwa. Na ndiyo maana hata unaona baadhi wakilazimishwa na "mazingira" kuunga juhudiKwani mnalazimishwa kuwa CCM?
Kina nani wanaolazimishwa hata kama hawataki?Ndiyo, tunalizimishwa na "mazingira" yaliyowekwa. Na ndiyo maana hata unaona baadhi wakilazimishwa na "mazingira" kuunga juhudi
Pole Tanzania, pole TanganyikaAnachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Wacha wadundwe,mambo mengine ya kujitakia wao wenyewe.CCM siku hizi hakuna mjadala ahaaaaaa kuanzia Kamati kuuu ; NEC hadi mkutano mkuuu
Mwenyekiti anachofanya ni “kuuliza”
Wajumbe mnasemajeeeeeeee?
Wajumbe;- sawaaaaaaa
Mwenyekiti ;-haya imepita
Mwenyekiti:- hapa Nina hoja yangu haukupita Kamati kuu
Mnasemajeeee
Wajumbe :- ndioooooooo
Kwenye ccm walizoea mijadala mizito kwenye ngazi ya Kamati kuuu mizito Sana na hizo ndiooooo zilikua mkutano mkuuu Lakini nako mwenyekiti alitoa nafasi ya mijadala miwili mitatu
Lakini leo tunaona ccm ambayo hadi NEC hawapewi nafasi ya kujadilii hoja na hata wanaojaribu kuleta hoja fikirishi kama yule wa Songwe wanazimwa juu kwa juuu na pengine wakitoka hapo watashughulikiwa .....
Mkutano Mkuu “mapandikizi” yanapata muda wa kuongea Lakini sio mijadala
Alafu wanafurahia kumaliza mkutano wa siku mbili kwa masaaa Matatu tu; that’s a joke
Huu ni uburuzaji
Mikutano ya cc ; Nec na Congress ilikua hadi inakesha sio kuwa walikua wajinga bali ililenga kutoa nafasi ya kutosha ya mijadala toka kwa Wajumbe Lakini leo Wajumbe wanaenda kusema ndioooo tu
Pengine mwenyekiti wa Sasa sio mtu wa kuvumilia mijadala mizito hawezi !!!!
Nihame niende wapi wakati huko upinzani ndiko mbinyo na vilio vilikoanzia? Yaani niondoke kwenye majivu nikimbilie kwenye moto? Hivi unadhani akina Kinana, Nape na Makambas wanaomba radhi hivi hivi tu. Au kina Sumaye na Lowasa wanarudi ccm kwa kupenda? Kuna makubwa yaliwapata.
CCM KUMBE ni chama cha makondoo mfu?Tena sio makondoo mazima bali makondoo yaliyougua to the last point hayana namna ya kuepuka kifo
Mpuuzi wewe, anaburuzwa nani? Na Hukute uanachart umekaa juu ya Flyover au unatarajiwa kusafiri na Ndege iliyonunuliwa na mzalendo, na Mambo KibaoAnachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Wewe utakuwa ni mnufaika wa ubabaishaji unaofanywa ndani ya chama. Siwezi kubishana na wewe.Mpuuzi wewe, anaburuzwa nani? Na Hukute uanachart umekaa juu ya Flyover au unatarajiwa kusafiri na Ndege iliyonunuliwa na mzalendo, na Mambo Kibao
Hakika mkuu. Anaamua, anafanya, amfokea na kumtusi yeyote bila ya hofuWana ccm tunanyanyasika mwenyekiti kakiweka chama mfukoni .
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Chama Mali yake binafsi nyie ni wapangaji kwann msiburuzwe,hili trela teuzi zote ni za wahamiaji nyie endeleeni kusugua mabenchiHakika mkuu. Anaamua, anafanya, amfokea na kumtusi yeyote bila ya hofu
Mbona hata maalim self uwa anaitumia kwann ujawai kuona tatizo hapo?Na ile kauli yake ya kuwaambia Wapinzani hawatashinda uchaguzi wa mwaka huu nayo ina ukakasi na inatukatisha tamaa wapenda mabadiliko.
Mzee huwa anaongea tu kila kinachomjia mdomoni mwake. Hana utaratibu wa kuchuja kwanza ili kuondoa mkanganyiko usio na tija.
Tuliwaonya juu ya katiba yenu hamkusikia Leo mnalia mnafukuzwa Kama mbwa,mnaomba misamaha japo mmekosewa.Wana ccm tunanyanyasika mwenyekiti kakiweka chama mfukoni .
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
poleNdiyo nimempa lkn siyo kwa hiari yangu. Kwa kuogopa figisu.