huna ushauri ni bora tu ungepita hiyo nafas ukamwachia mwingine.Noma sana!
Ww sema ukwel jamaa umemchoka au umepata mwingine unatafuta mbunu ya kumkwepa hakuna zaid ya hicho kitu kingine hebu achen kucheza na mungu kwa kivuli cha uokovu nawaambia mtakuja kuumbuka kaz kwenuMungu akusamehe na hili.
Labda uhamie kwenye punyeto vinginevyo tusidanganyaneUkiamua kumpenda Mungu zaidi ya vitu na mtu unaweza.Kila kitu ni Imani.
NakaziaMkuu si bora angekuwa bikra ndo afanye ivo tungemuelewa.
Bac naomba nipite dadaaa.Anyway MUNGU akuongoze katka maamuz sahihi.Aaaahaaa,unazini ukijua utaomba Toba,Mungu achezewi wala kuzoewa ivo,utapigwa fimbo iyo...
Aisee Chalii yangu hao wanaweza piga hata maombi kabla ya kugegedana na mambo yakawa fresh tu(kila hatua Dua)Unzinzi hutokea pale ambapo mmoja au wote mnashindwa kuwa waaminifu ktk uhusiano wenu.
Kama yeye yuko peke yake kwako na wewe uko peke yako kwake then uhusiano wenu unabaraka tele sana, huko kuanguka kiroho kunatoka wapi? Kufanya mapenzi na mchumba wako kunakufanya unaanguka kiroho?
Uzi wako unaonesha mmoja kati yenu si mwaminifu na dhana ya uzinzi inaanzia hapo.
Ushauri wangu ni kwamba shughulikieni suala la uaminifu kwanza ktk uhusiano wenu.
Ndio hatuamin awe muwaz tu msela hajampenda Kutoka moyon mbona yule aliye achana nae kwa kukuta sms za mademu wake hakusema anapata changamoto za kiimaniHaya mambo yapo sana..wasio amini lazima watabeza.
Fanya lililo sahihi dear.
Mungu hawatupi walio wake.
Unazungumzia mtu nliyeachana nae wakati hata kanisa silijui,afu was 2016 kijana,Nnaemzungumzia hapa ni wajuzi tu.Ndio hatuamin awe muwaz tu msela hajampenda Kutoka moyon mbona yule aliye achana nae kwa kukuta sms za mademu wake hakusema anapata changamoto za kiimani
Hapo pia ni mimi kabisa aisee, yaani kufanya shughuli fulani ya kiibada nikiwa katika hali ya dhambi (mbali na Mungu kiroho) yaani nashindwaga kabisa. Mpaka nihakikishe nimerudisha mahusiano yangu na Mungu.Binafsi nikiwa najua kabisa siko sawa, hata kanisani siendi kabisa. Inaniwia hukumu sana na kujutia. Naona bora nikae pembeni kwanza.
Ni wajibu wa kibaologia kwa mwanadamu me kukutana kimwili na mwanadamu ke. Kudhani km ni makosa kufanya hivyo kwa mujibu wa mwongozo wa taasisi fulani, ni kujihsi au kujipa hatia dhidi ya biologia ya miili yetu.That is a big statement. Biology? For example how?😅