Hapo sijakutusi nimeuelezea uwezo wako, ni sifa kubwa sana hiyo.
Eti unajifunza kupaa, unataka kutuletea uongo wa huyo Mwalimu wako? mwenye kupaa anasema? thubutu.
Huna lolote faiza na huwezagi kukubali mitazamo ya wengine! Unachojua wewe ni kudhani kwamba chochote usichokubaliana nacho ni uongo that's shallow mind...!!! N shallow minded people like you are always short tempered!
hahahahahaha lol! shauri yako utakuta wameshaingia kwenye papuchi wamefanya yao halafu wameshasepa ukiamka unabaki kushangaa shangaa, usiku unaofuata pia wanakuja wanafanya yao halafu hao wanasepa zao. Hawa anaweza hata kufanya yao kwenye papuchi ukiwa kazini lol! uko kazini colleagues wanakuona uko wa ajabu ajabu hata hawakuelewi kumbe njemba ziko busy kwenye papuchi zinafurahia utamu lol! Inatisha aisee.
Kasome tena post # 112 ha;afu niambie dhanna iko wapi?
Mkikamatwa mnadanganya mnaanza kutokwa na povu.
Hebu ianzishie uzi wake hii post no 112!utapata wachangiaji, binafsi Sihitaji kuisoma kwakuwa sio kipaumbele changu
Umeisoma na ukaijibu na ukatokwa na povu nimekukumbusha na sasa unaona haya.
Huwa sianzishi mada kwa ajili ya kutafuta wachangiaji, kumbuka hilo.
Nitafute wachangiaji ili iweje? mimi huwa nnatoa darsa, mwenye kumeza ameze na mwenye kutema ateme.
Nilikuwa busy sana kutwa nzima na sasa ndo nimerudi nakuta ubishi kati ya FF na Mshana Jr. Sawa sawa kabisa wana haki ya kuagyu kila mmoja kwa uhuru wake lkn si kwa mmoja kumbeza mwingine.
Jambo linalomsumbua sana 'mtaalam #Faiza Fox ni kitu kinachoitwa Ontario. Mimi nilisema ni jiji nayeye anasema ni jimbo!
Lakini mie nilitaka kusema Ottawa nikachanganya kwa kuandika, si kwa mantiki. Ni typing error!!!
Lakini nataka kumsaidia Faiza kuwa Ontario siyo jimbo pia. Canada ina majimbo matatu mashuhuri; nayo ni Alberta(anakodai aliishi Faiza), Saskatchewan na Manitoba. Kama siku hizi Ontario nalo ni jimbo hilo mi sijui naelezea mambo ya miaka ya '90.
Kama Faiza hatajali na kwa kuwa anajinasibu kama msomi asiyeshindwa kitu (kama ZZK) basi afuatilie graduates wa mwaka 1990 kozi ya Metafizikia Hudson University atajifunza kitu na atakutana na majina Ngonyani Chioma Malapa na Yokho Zim (wanaohusishwa kwa thread hii)
Na labda kwa kuwa Faiza Foxy ni mkosoaji nguli basi angekosoa na mji wa Fort hills kwa sababu siku hizi unaitwa Fort Williams na Mimi niliutaja Fort Hills kama ulivyojulikana zamani. Faiza, mji huu unapakana na jiji jingine Port Arthur, jiji la viwanda, au cku hizi nalo cyo jiji ni Jimbo???
Kule Alberta ulikokuwa unaishi(cJui!!!!) ninaweza kukutajia mahali wanajifunzia masuala haya! Sky divers wapo wengi cku hizi Canada na hususani jimbo la Alberta!
hahahahahaha lol! shauri yako utakuta wameshaingia kwenye papuchi wamefanya yao halafu wameshasepa ukiamka unabaki kushangaa shangaa, usiku unaofuata pia wanakuja wanafanya yao halafu hao wanasepa zao. Hawa anaweza hata kufanya yao kwenye papuchi ukiwa kazini lol! uko kazini colleagues wanakuona uko wa ajabu ajabu hata hawakuelewi kumbe njemba ziko busy kwenye papuchi zinafurahia utamu lol! Inatisha aisee.
Nami nataka nipae nifike kileleni
NILIKUMBANA NA CHANGAMOTO KUBWA WAKATI WA BARIDI KALI!!!
Siku moja Yokho Zim alinipigia simu(siyo simu zenu za kisasa hizi, simu ya ku whistle kiganja cha mkono wa kuume kikasafirisha sauti yako) nimkute mji fulani unaitwa Churchill tulikuwa tunataka kuwadili wanawake wa kiblazili masista duu waliokuwa wakijiona matawi ya juu. Wakati huo mimi nilikuwa mjini Winnipeg umbali kama wa maili 50 hivi kutoka Churchill. Nikiwa angani anga likawa zito sana kwa sababu nyakati za baridi kuna theluji tupu, nilijisikia mzito sana nikaanguka chini kwa kishindo puuu. Kwa kuwa nilianguka ghafla na sikuwa nafahamu sana maeneo hayo nilikosa direction kabisa na walinzi wa usiku wa doria walikuja mbio kwa sababu ya kishindo. Niliamuru upepo wa kisulisuli uje kabla walinda doria hawajanifikia unichukue, ukatokea nikaondoka nao kwa kasi bila kujua naenda wapi kwa sababu nilisahau kuuambia. Nilitulia angani nikiwa tayari kwa lolote lkn kwa bahati nzuri nikatua salama nje ya viunga vya jiji la Montreal kandokando ya mto St. Lawrence. Nililazimika kujifanya mvuvi wasinistukie lakini siku hiyo sitaisahau kamwe maishani!