Nilikuwa busy sana kutwa nzima na sasa ndo nimerudi nakuta ubishi kati ya FF na Mshana Jr. Sawa sawa kabisa wana haki ya kuagyu kila mmoja kwa uhuru wake lkn si kwa mmoja kumbeza mwingine.
Jambo linalomsumbua sana 'mtaalam
#Faiza Fox ni kitu kinachoitwa Ontario. Mimi nilisema ni jiji nayeye anasema ni jimbo!
Lakini mie nilitaka kusema Ottawa nikachanganya kwa kuandika, si kwa mantiki. Ni typing error!!!
Lakini nataka kumsaidia Faiza kuwa Ontario siyo jimbo pia. Canada ina majimbo matatu mashuhuri; nayo ni Alberta(anakodai aliishi Faiza), Saskatchewan na Manitoba. Kama siku hizi Ontario nalo ni jimbo hilo mi sijui naelezea mambo ya miaka ya '90.
Kama Faiza hatajali na kwa kuwa anajinasibu kama msomi asiyeshindwa kitu (kama ZZK) basi afuatilie graduates wa mwaka 1990 kozi ya Metafizikia Hudson University atajifunza kitu na atakutana na majina Ngonyani Chioma Malapa na Yokho Zim (wanaohusishwa kwa thread hii)
Na labda kwa kuwa Faiza Foxy ni mkosoaji nguli basi angekosoa na mji wa Fort hills kwa sababu siku hizi unaitwa Fort Williams na Mimi niliutaja Fort Hills kama ulivyojulikana zamani. Faiza, mji huu unapakana na jiji jingine Port Arthur, jiji la viwanda, au cku hizi nalo cyo jiji ni Jimbo???
Kule Alberta ulikokuwa unaishi(cJui!!!!) ninaweza kukutajia mahali wanajifunzia masuala haya! Sky divers wapo wengi cku hizi Canada na hususani jimbo la Alberta!