Sitaki tena kupaa angani

Mkuu ray lee.

Action speaks better than words.

Unajuwa maana yake?

Wanaofahamu, wameshafahamu.

Kama wewe una ujuzi wa kuruka kama Superman, uwanja ni wako.

Poa mkuu..dili limenishinda..mi sio mrukaji..nilitaka kuwa dalali
 
Last edited by a moderator:

Ndio maana nikasema kwenye meditation hakuna kupaa physically bali unahama kiroho, kinachoondoka ni ile supersoul/energy ile conscious Mind/soul, mwili unabaki pale tuli kwenye posture/position yoyote ile lakini katika hali ya ukimya mkuu na bila kutikisika
 
Last edited by a moderator:

Kwa kuwa sina uzoefu wala sijaona kwa macho yangu, siwezi kukubali moja kwa moja mambo ya kuhama roho. Najua tu ubongo wetu una uwezo mkubwa kuliko tunavyouelewa. Hata wanasayansi wanajuwa asilimia kumi tu ya kazi ya ubongo mwilini pamoja na maendeleo yote ya kisayansi.

Kwa sasa imani yangu ya meditation ni ile inayonisaidia kupunguza stress. Nikifika level nyingine, pengine nitaona zaidi na kupata imani nyingine.

Kwa kweli zazen meditation imenisaidia sana kiafya.
 

Ni vema ukaishia hapo ila usirudi nyuma! Ukiendelea zaidi meditation hukupa macho ya kuona zaidi si kitu kizuri sana kwasisi tunaomuabudu Mungu mmoja
Mwaka 1998 nilirudi nyumbani kwa matatizo ya kifamilia, sikuwepo nchini kwa miaka 2 mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nimezama kabisa kwenye meditation kiasi cha kutabiri safari yangu yote

Nilifika Tanzania mchana wa SAA kumi siku ya ijumaa, Jumapili yake nikaenda kanisani nilikuwa nimechelewa na ibada ilikuwa imeshaanza na viti vimejaa, lakini kwa bahati mbele kabisa kulikuwa na nafasi

Sasa ile napita kutoka nyuma nilihisi kabisa napambana na kama nguvu nyingine kubwa zaidi na kwakweli waumini wote niliokuwa nawapita walikuwa wanavibrate kama wamepitiwa na shoti ndogo
Niliporudi chuoni nilijiwekea limitations kwenye meditation
 

Mmmmmmmmh!
 
Kupaa ni kupaa.Hata kama ni kwa uchawi na tunajua huwa wanapaa. Meditation inaweza kukusaidia ufanye cho chote kwenye ulimwengu unaionekana na usio onekana
 

Mkuu hapa naona unaendelea kutudanganya, we ulijuaje kuwa hao waumini walipigwa na hiyo shoti au ni akili yako ww ndio iliyokuwa inavibrate
 
Mkuu hapa naona unaendelea kutudanganya, we ulijuaje kuwa hao waumini walipigwa na hiyo shoti au ni akili yako ww ndio iliyokuwa inavibrate

Huhitaji kuamini nilichoandika, siandiki kuwaaminisha watu naandika kilichotokea suala la kuamini au kutoamini sio juu yangu tena

Zaidi sikusema walipigwa shoti pitia tena taratibu usome nilichoandika, tusikimbilie kuhukumu kwamba tunadanganywa hayo ni mawazo mgando
 
mshana jr hizo nguvu zina kinzana na za Mungu?
 
Last edited by a moderator:
mshana jr hizo nguvu zina kinzana na za Mungu?

Naweza kusema ndio kwakuwa kwa mfano Zen/Chan meditation huambatana na kuchant, kufanya ibada za kuabudu masanamu Buddhas and Bodhisattvas na ibada za kulisha mizimu(hungry ghosts) na kutoa offerings
Haya mambo yanapingana kabisa na ukristo au imani nyingine zinazoamini katika Mungu mmoja
 
Last edited by a moderator:

Kama ni hivyo bac meditation yeyote ile ni uchawi!
 
mkuu mshana jr napenda kufaham zaid kuhusu meditation...napenda kufungua nguvu within zaid kufungua 3rd eye...maana nafaham kuwa na knowledge tofauti tofauti ni kitu kizuri,maana imeandikwa mshike saana elimu na usimwache akaenda zake...so elimu tofauti tofaut hupanua ufahamu msaada zaid mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:
neo1 hapa jamvini ni ngumu ila ukiweza njoo upanga Mindu street kila jumapili SAA 3 asubuhi utapata full package
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mshana jr na wewe unaujuzi na mambo meditation halafu unakaa kimya kwanini ?
Ok not bad,2moro we'll about Breath Meditation and Mantra i want 2 about them,now i'm going 2 log out,have a good night.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mshana jr na wewe unaujuzi na mambo meditation halafu unakaa kimya kwanini ?
Ok not bad,2moro we'll about Breath Meditation and Mantra i want 2 about them,now i'm going 2 log out,have a good night.

Have a nice nite Idd Ninga
 
Last edited by a moderator:

bila shaka hao waumini hawako sawa, je unazani nini kilisababisha hao waumini wawe hivyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…