Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mshana Jr., hapo nakubaliana na wewe. Watu wanaofanya meditation wana afya bora zaidi. Baadhi ya faida yake ni kupunguza stress, kusoma vizuri darasani na kupunguza kuumwa kwa kuzidisha kinga mwilini.
Hayo mambo ya kupaa ni kitu kingine kabisa na meditation.
Bado kimya ......Fix tupu. Eti wana uwezo wa kupaa!! Labda kwa nguvu za ganja!
Mmekuwa Superman?
Ndio maana nikasema kwenye meditation hakuna kupaa physically bali unahama kiroho, kinachoondoka ni ile supersoul/energy ile conscious Mind/soul, mwili unabaki pale tuli kwenye posture/position yoyote ile lakini katika hali ya ukimya mkuu na bila kutikisika
Ha haaaaa haaaaa. Usisahau na Spiderman mkuu
Kwa kuwa sina uzoefu wala sijaona kwa macho yangu, siwezi kukubali moja kwa moja mambo ya kuhama roho. Najua tu ubongo wetu una uwezo mkubwa kuliko tunavyouelewa. Hata wanasayansi wanajuwa asilimia kumi tu ya kazi ya ubongo mwilini pamoja na maendeleo yote ya kisayansi.
Kwa sasa imani yangu ya meditation ni ile inayonisaidia kupunguza stress. Nikifika level nyingine, pengine nitaona zaidi na kupata imani nyingine.
Kwa kweli zazen meditation imenisaidia sana kiafya.
Ni vema ukaishia hapo ila usirudi nyuma! Ukiendelea zaidi meditation hukupa macho ya kuona zaidi si kitu kizuri sana kwasisi tunaomuabudu Mungu mmoja
Mwaka 1998 nilirudi nyumbani kwa matatizo ya kifamilia, sikuwepo nchini kwa miaka 2 mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nimezama kabisa kwenye meditation kiasi cha kutabiri safari yangu yote
Nilifika Tanzania mchana wa SAA kumi siku ya ijumaa, Jumapili yake nikaenda kanisani nilikuwa nimechelewa na ibada ilikuwa imeshaanza na viti vimejaa, lakini kwa bahati mbele kabisa kulikuwa na nafasi
Sasa ile napita kutoka nyuma nilihisi kabisa napambana na kama nguvu nyingine kubwa zaidi na kwakweli waumini wote niliokuwa nawapita walikuwa wanavibrate kama wamepitiwa na shoti ndogo
Niliporudi chuoni nilijiwekea limitations kwenye meditation

Mkuu hapa naona unaendelea kutudanganya, we ulijuaje kuwa hao waumini walipigwa na hiyo shoti au ni akili yako ww ndio iliyokuwa inavibrate
mshana jr hizo nguvu zina kinzana na za Mungu?
Naweza kusema ndio kwakuwa kwa mfano Zen/Chan meditation huambatana na kuchant, kufanya ibada za kuabudu masanamu Buddhas and Bodhisattvas na ibada za kulisha mizimu(hungry ghosts) na kutoa offerings
Haya mambo yanapingana kabisa na ukristo au imani nyingine zinazoamini katika Mungu mmoja
Kama ni hivyo bac meditation yeyote ile ni uchawi!
neo1 hapa jamvini ni ngumu ila ukiweza njoo upanga Mindu street kila jumapili SAA 3 asubuhi utapata full packagemkuu mshana jr napenda kufaham zaid kuhusu meditation...napenda kufungua nguvu within zaid kufungua 3rd eye...maana nafaham kuwa na knowledge tofauti tofauti ni kitu kizuri,maana imeandikwa mshike saana elimu na usimwache akaenda zake...so elimu tofauti tofaut hupanua ufahamu msaada zaid mkuu!!!
Ni vema ukaishia hapo ila usirudi nyuma! Ukiendelea zaidi meditation hukupa macho ya kuona zaidi si kitu kizuri sana kwasisi tunaomuabudu Mungu mmoja
Mwaka 1998 nilirudi nyumbani kwa matatizo ya kifamilia, sikuwepo nchini kwa miaka 2 mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nimezama kabisa kwenye meditation kiasi cha kutabiri safari yangu yote
Nilifika Tanzania mchana wa SAA kumi siku ya ijumaa, Jumapili yake nikaenda kanisani nilikuwa nimechelewa na ibada ilikuwa imeshaanza na viti vimejaa, lakini kwa bahati mbele kabisa kulikuwa na nafasi
Sasa ile napita kutoka nyuma nilihisi kabisa napambana na kama nguvu nyingine kubwa zaidi na kwakweli waumini wote niliokuwa nawapita walikuwa wanavibrate kama wamepitiwa na shoti ndogo
Niliporudi chuoni nilijiwekea limitations kwenye meditation
bila shaka hao waumini hawako sawa, je unazani nini kilisababisha hao waumini wawe hivyo?!