Sitaki tena kupaa angani

Hii ngumu sana mkuu,kina mshana jr wanaotaka kujifunza wape somo tu,sisi wengine waangaliaji tu
 
Last edited by a moderator:
kwanza feki story nzima

pili unataka kuleta mauchawi-chawi yako ili badae mje na story zenu za makanjanja wakichungaji nama yule aliyeundei mkasema amepaa angani
 
Ndiyo hayo mliyokusudia, kutupeleka kanisani, nilijuwa hiki kisa cha uongo kitaishia huko tu.

Wewe utabiri nini wewe? wacha uongo, hakuna aijuae kesho.
 
Ndiyo hayo mliyokusudia, kutupeleka kanisani, nilijuwa hiki kisa cha uongo kitaishia huko tu.

Wewe utabiri nini wewe? wacha uongo, hakuna aijuae kesho.

To me you are jus another s.h.I.t, smalltime b.!t.CH, dhaifu wa hoja usiye na lolote, mpuuzi fulani mwenye akili finyu kama matako ya bata...! Wewe kwangu ni kinyesi tu na kinyesi sehemu yake ni chooni
Faiza sole yangu ya kiatu ina thamani kuliko wewe mara milioni
 
Katika matusi yote uliyotukana sijaona jipya.

Tumewashtukia.
 
Mkuu Mshana Jr. Kuna wakati ulinipa ushauri mzuri sana.

Practice what you preach my friend.

Use your positive energy positively!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mshana Jr. Kuna wakati ulinipa ushauri mzuri sana.

Practice what you preach my friend.

Use your positive energy positively!

Thanx Tokyo40, lakini kuna wakati lazima mtu ukereke, hasahasa unapodili na mtu ambaye hataki kukubali mawazo ya wengine unamwelesha kwa upole kabisa hasikii unamkanya bado tu ana wewe unamwambia live kwamba sitaki mijadala na wewe bado mtu hasikii inafika mahali huna jinsi
Sio tabia kutoa lugha chafu na kwakweli huwa nakwepa mno mijadala yenye mwelekeo huo, hata mimi kuna mada na post sukubaliani nazo lakini sijawahi kumzodoa mtu tunatofautiana kwa kila kitu na kwakweli hatufanani lakini mtu anapokuwa pashkuna kiasi hiki kuna mahali inafika unakosa subra
 
Last edited by a moderator:

Huna cha kunielewesha wewe, nilijuwa stori yenu mtataka kuimalizia kanisani, na ndicho kilichokuuma hicho.

Tumewashtukia mapema na uongo wenu.

Upashkuna ni sifa, wala si jipya hilo.
 
Mkuu Mshana Jr. Kuna wakati ulinipa ushauri mzuri sana.

Practice what you preach my friend.

Use your positive energy positively!

Huyo hana cha ku think positive hata chembe, anajidai tu. Mtu anae think positive hadanganyi hata kidogo.

Kuna wakati alikuwa na mazowea ya kuokoteza picha mitandaoni na kuja kudanganya watu hapa JF, nikamshtukia.

Sasa fikiri, mtu mwenye ku think positive anadanganya? never.
 
Tatizo wengi wetu tunaridhika na vidarasa tulivyopita Tuko kwwnye Comfort zone. Hata mPHd holders hawatafuti elimu ya ziada.

Huko Asia na marekani watu wanagundua vitu vingi sana kwa sababu wana elimu ya ziada ya kutambua binadam ni nini na ana uwezo gani. Wanajua siri kuu kati ya Mungu ..Omnpotent na binadamu.

Hapa Jf ukizungumza habari ya meditatation, Astra body, universal power, omnipotent , omniscient, mind,..concious mind na subconcisous mind , Thought ,positive energy na negative energy etc etc watu wanakuona chizi au
mchawi.
Huyu jamaa alikuwa anapractice AOB ..out of body experience. Sio kama wengi walivyoelewa hapa.
You can go anywhere as astra body.
 
Naomba kujua madhara yatakayo nipata endapo nitakosea japo kiduchu
 
Tena anasema "nikipanda tu kitandani nasafiri angani......". ( Lakini bado watu wanasema ni kupaa phyisically) Someni mjue raha ya kuwa duniani na hasara zake. Otherwise wazungu na waaasia watakuwa wanadictate tu raha na shida-zetu hasa ss tulio waafrika tusiotaka kujua siri kuu. "The secret"
 
Naomba kujua madhara yatakayo nipata endapo nitakosea japo kiduchu

Kukosea ni nini? Ukifanya meditation uwe na positive thought. Ukiwa na negative thinking utaishia kupata negative energy. Tuseme ukitaka kuwa jambazi through meditation utakuwa. Ila ujambazi sio positive energy.
 
hapo juu umetumia lugha isiyofaa, hata kama umekasirika, mme asirara mche, tafadhali tubadili lugha zenye ukakasi
 
Naomba kufahamu hatua kwa hatua bas
 
hapo juu umetumia lugha isiyofaa, hata kama umekasirika, mme asirara mche, tafadhali tubadili lugha zenye ukakasi

Yeah sikuwa na jinsi kwakweli hebu jaribu kupitia post zangu tangu mwanzo wa hii post utapata picha kamili
 
Ndiyo hayo mliyokusudia, kutupeleka kanisani, nilijuwa hiki kisa cha uongo kitaishia huko tu.

Wewe utabiri nini wewe? wacha uongo, hakuna aijuae kesho.

Bi dada@FaizaFoxy sijawahi kuona comment yako yoyote ambayo hujalenga itikadi za kidini.Kuna baadhi ya vitu kama hukubaliani navyo kaa kimya tu dada angu

"Analyse"
 
Bi dada@FaizaFoxy sijawahi kuona comment yako yoyote ambayo hujalenga itikadi za kidini.Kuna baadhi ya vitu kama hukubaliani navyo kaa kimya tu dada angu

"Analyse"

Aliyeanza kumalizia hii hadithi kwa kwenda kanisani na kutaka kututia mkenge ni nani? rudia hiyo post uone aliyeanza udini.

Au kanisani hakuna dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…