Sitaki tena kupaa angani

Hatuna upuuzi huo Waislam, hatuna haja ya kuwadanganya watu ili waende Masjid, milango ya Masajid i wazi na unaingia wowote ule unasali unasepa, anaekwenda haya asiyekwenda haya. Kazi ni kwako.
Shikamoo bi Faiza
 
Write your reply...Mimi nilisoma soma kitabu cha the secret laws of attraction kuna mambo nimeanza kuyamaster na kuna mengine nayaogopa kabisa
 
Mkuu nitafute nikupe mawasiliano ya mtu ukafanyiwe maombi, hiyo sio hali ya kawaida kwa mwanadamu.
 
movie ni nzuri(kwa kuwa tunapenda kuamin hivyo vitu) ila nakukumbusha kuwa haiwezekan unaouwezo wa kupaa na kwenda mahali bila kuonekana huku unalalama Biashara imekuwa mbaya) hivyo rekebisha hapo kid
go...
 
The line between mental disorder and being mentally fit is vry thick...ushaur wangu ni vema umuone dk wa magonjwa ya akili mapema kabla hujaanza kusema hua unapaa na spidi ni sawa na dream liner 787 dash 8
 
Naskia kuna madini huko angani,siku mkipaa mnivute na mimi,tupeane madili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu,nifundishe mimi! Nitembezee dudumizi vitoto vya kihindi na kiarabu kkoo na upanga pale,then kila giza likianza bongo naenda far west mi ni mchana kwa mchana! Ibiza to carifonia to ....! No visa wala passport huu ni uzushi tuu!
Mkuu fatilia kuhusu Astra projection utamwelewa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kila kitu kinaitaji maombi mkuu
Mkuu nitafute nikupe mawasiliano ya mtu ukafanyiwe maombi, hiyo sio hali ya kawaida kwa mwanadamu.
 
Mkuu usipende kubaki kama ulivyo jitaidi kusoma na kujifunza vitu tofauti tofauti
The line between mental disorder and being mentally fit is vry thick...ushaur wangu ni vema umuone dk wa magonjwa ya akili mapema kabla hujaanza kusema hua unapaa na spidi ni sawa na dream liner 787 dash 8
 
Ndyo kwanza nasikia kuwa kuna teknolojia ya kupaa!
 
Unataka tujaribu wakati Tumetahadharishwa ni hatari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…