Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Hatuna upuuzi huo Waislam, hatuna haja ya kuwadanganya watu ili waende Masjid, milango ya Masajid i wazi na unaingia wowote ule unasali unasepa, anaekwenda haya asiyekwenda haya. Kazi ni kwako.
Shikamoo bi Faiza
 
Write your reply...Mimi nilisoma soma kitabu cha the secret laws of attraction kuna mambo nimeanza kuyamaster na kuna mengine nayaogopa kabisa
 
Mkuu nitafute nikupe mawasiliano ya mtu ukafanyiwe maombi, hiyo sio hali ya kawaida kwa mwanadamu.
 
movie ni nzuri(kwa kuwa tunapenda kuamin hivyo vitu) ila nakukumbusha kuwa haiwezekan unaouwezo wa kupaa na kwenda mahali bila kuonekana huku unalalama Biashara imekuwa mbaya) hivyo rekebisha hapo kid
go...
 
The line between mental disorder and being mentally fit is vry thick...ushaur wangu ni vema umuone dk wa magonjwa ya akili mapema kabla hujaanza kusema hua unapaa na spidi ni sawa na dream liner 787 dash 8
 
Naskia kuna madini huko angani,siku mkipaa mnivute na mimi,tupeane madili 😂😂😂😂
 
Mkuu,nifundishe mimi! Nitembezee dudumizi vitoto vya kihindi na kiarabu kkoo na upanga pale,then kila giza likianza bongo naenda far west mi ni mchana kwa mchana! Ibiza to carifonia to ....! No visa wala passport huu ni uzushi tuu!
Mkuu fatilia kuhusu Astra projection utamwelewa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kila kitu kinaitaji maombi mkuu
Mkuu nitafute nikupe mawasiliano ya mtu ukafanyiwe maombi, hiyo sio hali ya kawaida kwa mwanadamu.
 
Mkuu usipende kubaki kama ulivyo jitaidi kusoma na kujifunza vitu tofauti tofauti
The line between mental disorder and being mentally fit is vry thick...ushaur wangu ni vema umuone dk wa magonjwa ya akili mapema kabla hujaanza kusema hua unapaa na spidi ni sawa na dream liner 787 dash 8
 
Wadau salaam,

Nataka kushirikisha uzoefu wangu kidogo kuhusu haya masuala ya kupaa angani usiku na hata mchana. Faida na hata hasara zake!

Nilibahatika kuishi na mjapani mmoja jina lake Yokho Zim nchini Canada. Huyu mtu alikuwa mpole na mstaarabu sana. Alipendwa na kila mtu miaka hiyo ya '90 wakati tunasoma chuo kimoja jijini Ontario. Kwa kuwa nilikuwa mtu ninayejiweza kimasomo alishawishika kuambatana nami kila mahali na hapo ndipo nilipoanza kuichunguza mienendo yake.

Kama angeamua kukaa kimya hata iweje asemi na mtu. Aidha kama ingetokea nikamwacha mji mwingine kama Saskatchewan au Fort hills nilikuwa nashangaa kukuta ashanitangulia kufika chuoni. Angelala kumuamsha haikuwa rahisi labda aamke mwenyewe. Ungemwazia vibaya angekuuliza "kwa nini unaniwazia hivyo?" au "kwani nimekukosea nini hadi utake kuni...." tabia hiyo ilishangaza wengi.

Hayo na mengine mengi yalinipelekea kumchunguza ndipo nilipomgundua hakuwa mtu wa kawaida!

Alipogundua kuwa nishamgundua aliniambia mambo mengi sana ya ajabu na ya kutisha kwa angalizo nisimwambie mtu yoyote, la sivyo ningekutwa ya kunikuta!

Niliamua kukaa kimya, hatimaye nikamsihi anifundishe 'manjonjo' yake, akakubali kwa sharti lilelile la kumsetiri. Tulianza kufanya mazoezi kila siku za j.4 na alhamis mida ya saa 2 - 5 na kuanzia saa 5 - 9 usiku tulikuwa tunaenda 'field'!

Tulipomaliza chuo kila mmoja akashika njia yake, akarudi kwao Japan nikaenda kufanya kazi Colombia. Hata hivyo tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara, mara mie nimfuate Japan au yeye anifuate Colombia. Tulikuwa tunapaa zetu kila tulipotaka kutembeleana.

Niliporudi Tanzania mwaka 2010 niliishi maisha hayo hayo ya kupaa, kupotea ghafla (disappear), kusense mind za watu, kujihudhurisha katikati ya watu bila wao kunitambua, kulala na wanawake ofsn bila wao kujua iwe ucku au mchana, kusema mawazo ya mke wangu nk.

Maisha haya yamenikosesha raha sana kwa sababu nakosa kampani ya watu, ndg na jamaa wananiogopa, nikifika mahali watu wanakaa kimya au wanatawanyika, mke wangu wa kwanza amenikimbia, Wateja kwenye biashara zangu wanapungua kila mara, sipati kabisa ucngz kwa sababu nikipanda tu kitandani nasafiri angani kwenda nchi mbalimbali na wakati mwingine napambana na nguvu pinzani au wachawi, sina hamu ya mambo ya Mungu. Na kadhalika!

Sasa nimeamua kuacha rasmi mambo haya ili nami niishi kama binadamu wa kawaida, nimjue Mungu na niendelee na ishu zangu. Pia kwa wenzangu na mie hususani mliosomea far east haya mambo si ishu kabisa, yanakosesha raha, twawezayaacha.
Nasisitiza,

SITAKI TENA KUPAA!!!!!!
Ndyo kwanza nasikia kuwa kuna teknolojia ya kupaa!
 
Unataka tujaribu wakati Tumetahadharishwa ni hatari?
Nashukuru Kwa Kunipitisha Hapa Lakini Hii Alietoa Haina Mashiko Kuwa Itakupa Mtu Uwazi Kwamba Alieongea Huyu, Yeyote Anaweza Kuyasema Kwa Kutunga Ubongoni Kwa Muda Mfupi Je Umeona Sehemu Kasema Alijifunzaje? Aliwezaje!? Alipitia Hatua Zipi?
alipata faida gani? alipata hasara gani!? alikutana na nani!? ningechangia lakini imekaa tenge labda wenzangu hapo lakini mimi naona ni kama script tu imetengenezwa kupima je, itapokelewaje!? ni sawa na wewe utokee useme "Nilifundishwa Na Bibi Kuwanga Siwangi Tena"? wewe alikufundishaje? toka nimeanza kujifunza sijawahi kuskia mtu ana psychic power ya kujipoteza mwili na kurudia zaidi ya kuona movies tu za kufikirika... dissapear ni uchawi na uchawi uliowazi kama alikufundisha ulozi hapo sawa....

Msiamini Amini Ya Kusikia Practice Mwenyewe Uone Is This True? na ukiweza kupotea na kutokea basi jua umewanga tayari......


sijui wewe unalitizamaje hili MziziMkavu mshana jr nduki Pasco


"Rakims"
 
Back
Top Bottom