Sitaki tena kupaa angani

Hebu koma huko, bado akufundishe alafu uje usiku kutugongea eenh ??!!! ..................nenda kapaaehuko!

ha ha ha jamani mbona mnanikomalia nataka kupaa kwa yeyote anaejua jinsi ya kupaa anifundise serious nipo nahitaj hii kitu
 
tuoche kuuzunguka mbuyu,hizi knowladge zote hizi za kupaa usiku,sijui kutoka nje ya mwili nk.ni kati ya zile knowladge ambazo mw anadamu haruhusiwi kuzijua au kujifunza.mara nyingi hufundwishwa kwa siri kwenye ma lodge ya ki freemason kuendana na rank zao.be warned.
 
ha ha ha jamani mbona mnanikomalia nataka kupaa kwa yeyote anaejua jinsi ya kupaa anifundise serious nipo nahitaj hii kitu
Hiyo elimu ya kupaa inapatikana kwa "Waanga Bibi mzaa bibi yake mama yule ni Mwanga" Wewe njoo pale kwa Mzee Robo tatu.... ntakujulisha nao ukikubalika watakufunza !!
 
usihuzunishwe na kukatishwa tamaa na watu ambao hajawahi kukutana na hizo hali, binafsi kuna habari zangu binafsi huwa nasita kuziweka hapa lakini ningependa mno nijifunze toka kwako jinsi ya kupaa, nilifika hatua fulani lakini nikaacha NINGEPENDA KUJIFUNZA SASA[/QUOTE]

Asilimia kubwa uwa wanakufa kipindi cha mazoezi tu..ukifuzu shukuru sana
 
Kwa hiyo mkuu TRIPLE H inawezekana hata viumbe kama popobawa ni story tu ila ni watu kama wewe ndio mnawafanya vibaya wenzenu?
 
Last edited by a moderator:

Huyo jamaa yako alikuwa anacheza na akili na macho yako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…