Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Siwezi kutumia nafasi hii kufundisha mambo ambayo kwangu hayajanifaidia zaidi ya kuniharibia. Zaidi naweza sema wale wanaobisha waendelee kubisha lakini hili halitaondoa ukweli kuhusu uzoefu huu wa kupaa na kufanya mambo mengineyo abnormal. Wanaopenda kujifunza wafanye lakini kwa hasara yao na hata jijini Lagos nchini Nigeria sasa wabudha wamefungua secret society na wanaopenda kuonja kila radha wanajisajili kwa mnaotaka jisajilini au nendeni pale Upanga barabara ya A.H. Mwinyi fuatilieni taratibu ukipitapita maeneo hayo kwa mara tatu kwenda na kurudi kwa siku saba mfululizo utahisi kitu fulani mwilini na wepesi wa namna fulani na hapo utaanza kuota ndoto za mambo ya sirini mjumbe akikutokea na kukupeleka utakapochagua mwende.
Mkizoeana utaelewa zaidi. Jijini Nairobi, Luthuli street mambo hizo zinafanyika sana na watu mwanzoni wana enjoy lkn baada ya muda................
Rwagasore street, jijini Mwanza au Unga ltd Arusha, elimu hii utaipata kwa watu wa Yoga fuatilia utagundua wako lodge gani.

Mimi naweza kumeditate kwa dk. zisizozidi ishirini nikaondoka kwenye mwili wangu na kwenda ninapotaka nikitumia ndizi, kiazi chochote, unyoya wa ndege au ukucha.
Nawezaingia ndani ya chumba cha mtu (lkn niwe namfahamu) na kujichukulia chochote hasa nguo za ndani, hela, vitabu nk kwa ajili ya 'kazi' fulani.
Naweza lala na mkeo na wewe ukiwepo hapo hapo au nikijigeuza mke naweza lala na mmeo lkn matokeo yake m/mke niliyelala naye hawezi pata affection kwa mumewe na kama ni m/me nguvu zake za kiume zinapungua au zinaisha!
Nawezaeleza mengi kwa ushahidi lkn siyapendi na yameniharibia maisha na kuumiza wengine.
 
Mhhhhh!!!! Aiseee!!! Sasa umeamua nini? Katika hizi mambo kuna kafara unatoa? Kwa faida ya wengi funguka zaidi hasara ulizozipata na imekuharibia vipi........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamaa anaongea kwa huruma TRIPLE H mbona hiyo ni kawaida tu ikiwa wenzio tumejifunza tukiwa na miaka mitano na hatukuona madhara yake sema nyinyi wengine huwa mnatumia vibaya vitu mnavyojifunza ila ukitumia vizuri ni kitu kimoja kizuri sana tena hiyo haina masharti magumu kama ile ya kusafili kwa njia upepo nafikiri utakuwa umeelewa kama umeshawahi safari unazosema kuwa umefanya
 
Katikati ya hii sredi naona kuna wanga wanapeana hamasa na kufurahia kujua wanayoyafanya yana wafuasi pia...

Mshindwe kabisa walozi nyie....

Hata mimi ndicho nilichokiona hapa mkuu.
 
Huko angani kuna viumbe vinatisha ukikutana navyo hutapenda tena kufanya hivyo, labda uwe na kinga nyingine ya ziada.
 
Mkuu vipi hizi haziwezi kutusaidia kule kwenye mambo yetuu na wadosi!

Kuna jamaa mmoja ni mzee wa kubet, huwa anaenda kwa mafundi kupiga ramli za majini ili atusue...

Kila siku huwa anaishia kupigwa lakini hakomi...
 
Ha ha ha! Haina uchawi ile.
 
Wadau salaam,

Nataka kushirikisha uzoefu wangu kidogo kuhusu haya masuala ya kupaa angani usiku na hata mchana. Faida na hata hasara zake!

Nilibahatika kuishi na mjapani mmoja jina lake Yokho Zim nchini Canada. Huyu mtu alikuwa mpole na mstaarabu sana. Alipendwa na kila mtu miaka hiyo ya '90 wakati tunasoma chuo kimoja jijini Ontario. Kwa kuwa nilikuwa mtu ninayejiweza kimasomo alishawishika kuambatana nami kila mahali na hapo ndipo nilipoanza kuichunguza mienendo yake.

Kama angeamua kukaa kimya hata iweje asemi na mtu. Aidha kama ingetokea nikamwacha mji mwingine kama Saskatchewan au Fort hills nilikuwa nashangaa kukuta ashanitangulia kufika chuoni. Angelala kumuamsha haikuwa rahisi labda aamke mwenyewe. Ungemwazia vibaya angekuuliza "kwa nini unaniwazia hivyo?" au "kwani nimekukosea nini hadi utake kuni...." tabia hiyo ilishangaza wengi.

Hayo na mengine mengi yalinipelekea kumchunguza ndipo nilipomgundua hakuwa mtu wa kawaida!

Alipogundua kuwa nishamgundua aliniambia mambo mengi sana ya ajabu na ya kutisha kwa angalizo nisimwambie mtu yoyote, la sivyo ningekutwa ya kunikuta!

Niliamua kukaa kimya, hatimaye nikamsihi anifundishe 'manjonjo' yake, akakubali kwa sharti lilelile la kumsetiri. Tulianza kufanya mazoezi kila siku za j.4 na alhamis mida ya saa 2 - 5 na kuanzia saa 5 - 9 usiku tulikuwa tunaenda 'field'!

Tulipomaliza chuo kila mmoja akashika njia yake, akarudi kwao Japan nikaenda kufanya kazi Colombia. Hata hivyo tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara, mara mie nimfuate Japan au yeye anifuate Colombia. Tulikuwa tunapaa zetu kila tulipotaka kutembeleana.

Niliporudi Tanzania mwaka 2010 niliishi maisha hayo hayo ya kupaa, kupotea ghafla (disappear), kusense mind za watu, kujihudhurisha katikati ya watu bila wao kunitambua, kulala na wanawake ofsn bila wao kujua iwe ucku au mchana, kusema mawazo ya mke wangu nk.

Maisha haya yamenikosesha raha sana kwa sababu nakosa kampani ya watu, ndg na jamaa wananiogopa, nikifika mahali watu wanakaa kimya au wanatawanyika, mke wangu wa kwanza amenikimbia, Wateja kwenye biashara zangu wanapungua kila mara, sipati kabisa ucngz kwa sababu nikipanda tu kitandani nasafiri angani kwenda nchi mbalimbali na wakati mwingine napambana na nguvu pinzani au wachawi, sina hamu ya mambo ya Mungu. Na kadhalika!

Sasa nimeamua kuacha rasmi mambo haya ili nami niishi kama binadamu wa kawaida, nimjue Mungu na niendelee na ishu zangu. Pia kwa wenzangu na mie hususani mliosomea far east haya mambo si ishu kabisa, yanakosesha raha, twawezayaacha.
Nasisitiza,

SITAKI TENA KUPAA!!!!!!

Kabla ya kudanganya ungefanya kautafiti japo kiduchu. Hakuna jiji liitwalo "Ontario" katika Canada. Ontario ni jimbo ambalo ukubwa wake kwa eneo ni kuliko Tanzania nzima.

Saskatchewan pia ni jimbo na si mji.

Fort Hills pia si mji ni "project" ya kampuni iitwayo True North Energy inayojishughulisha na michanga ya mafuta (Oil Sands) (maarufu sana kama umeishi Canada), ipo katika jimbo la Alberta (ambalo nimeishi (jijini Calgary) kwa muda mrefu sana katika maisha yangu).

Nakuomba usitudanganye kama watoto wadogo, at least kwa hayo. Usifikiri Watanzania wote tu mazezeta.
 
Wadau salaam,

Nataka kushirikisha uzoefu wangu kidogo kuhusu haya masuala ya kupaa angani usiku na hata mchana. Faida na hata hasara zake!

Nilibahatika kuishi na mjapani mmoja jina lake Yokho Zim nchini Canada. Huyu mtu alikuwa mpole na mstaarabu sana. Alipendwa na kila mtu miaka hiyo ya '90 wakati tunasoma chuo kimoja jijini Ontario. Kwa kuwa nilikuwa mtu ninayejiweza kimasomo alishawishika kuambatana nami kila mahali na hapo ndipo nilipoanza kuichunguza mienendo yake.

Kama angeamua kukaa kimya hata iweje asemi na mtu. Aidha kama ingetokea nikamwacha mji mwingine kama Saskatchewan au Fort hills nilikuwa nashangaa kukuta ashanitangulia kufika chuoni. Angelala kumuamsha haikuwa rahisi labda aamke mwenyewe. Ungemwazia vibaya angekuuliza "kwa nini unaniwazia hivyo?" au "kwani nimekukosea nini hadi utake kuni...." tabia hiyo ilishangaza wengi.

Hayo na mengine mengi yalinipelekea kumchunguza ndipo nilipomgundua hakuwa mtu wa kawaida!

Alipogundua kuwa nishamgundua aliniambia mambo mengi sana ya ajabu na ya kutisha kwa angalizo nisimwambie mtu yoyote, la sivyo ningekutwa ya kunikuta!

Niliamua kukaa kimya, hatimaye nikamsihi anifundishe 'manjonjo' yake, akakubali kwa sharti lilelile la kumsetiri. Tulianza kufanya mazoezi kila siku za j.4 na alhamis mida ya saa 2 - 5 na kuanzia saa 5 - 9 usiku tulikuwa tunaenda 'field'!

Tulipomaliza chuo kila mmoja akashika njia yake, akarudi kwao Japan nikaenda kufanya kazi Colombia. Hata hivyo tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara, mara mie nimfuate Japan au yeye anifuate Colombia. Tulikuwa tunapaa zetu kila tulipotaka kutembeleana.

Niliporudi Tanzania mwaka 2010 niliishi maisha hayo hayo ya kupaa, kupotea ghafla (disappear), kusense mind za watu, kujihudhurisha katikati ya watu bila wao kunitambua, kulala na wanawake ofsn bila wao kujua iwe ucku au mchana, kusema mawazo ya mke wangu nk.

Maisha haya yamenikosesha raha sana kwa sababu nakosa kampani ya watu, ndg na jamaa wananiogopa, nikifika mahali watu wanakaa kimya au wanatawanyika, mke wangu wa kwanza amenikimbia, Wateja kwenye biashara zangu wanapungua kila mara, sipati kabisa ucngz kwa sababu nikipanda tu kitandani nasafiri angani kwenda nchi mbalimbali na wakati mwingine napambana na nguvu pinzani au wachawi, sina hamu ya mambo ya Mungu. Na kadhalika!

Sasa nimeamua kuacha rasmi mambo haya ili nami niishi kama binadamu wa kawaida, nimjue Mungu na niendelee na ishu zangu. Pia kwa wenzangu na mie hususani mliosomea far east haya mambo si ishu kabisa, yanakosesha raha, twawezayaacha.
Nasisitiza,

SITAKI TENA KUPAA!!!!!!

Duuuuh mkuu hii ni kali kweli kweli, yaani unaweza kumgegeda binti bila yaye kujua? miss chaga amepona kweli? Nina wasi wasi mademu wa humu utakuwa umewakosa wachache sana. Haha haha haha!
 
Siwezi kutumia nafasi hii kufundisha mambo ambayo kwangu hayajanifaidia zaidi ya kuniharibia. Zaidi naweza sema wale wanaobisha waendelee kubisha lakini hili halitaondoa ukweli kuhusu uzoefu huu wa kupaa na kufanya mambo mengineyo abnormal. Wanaopenda kujifunza wafanye lakini kwa hasara yao na hata jijini Lagos nchini Nigeria sasa wabudha wamefungua secret society na wanaopenda kuonja kila radha wanajisajili kwa mnaotaka jisajilini au nendeni pale Upanga barabara ya A.H. Mwinyi fuatilieni taratibu ukipitapita maeneo hayo kwa mara tatu kwenda na kurudi kwa siku saba mfululizo utahisi kitu fulani mwilini na wepesi wa namna fulani na hapo utaanza kuota ndoto za mambo ya sirini mjumbe akikutokea na kukupeleka utakapochagua mwende.
Mkizoeana utaelewa zaidi. Jijini Nairobi, Luthuli street mambo hizo zinafanyika sana na watu mwanzoni wana enjoy lkn baada ya muda................
Rwagasore street, jijini Mwanza au Unga ltd Arusha, elimu hii utaipata kwa watu wa Yoga fuatilia utagundua wako lodge gani.

Mimi naweza kumeditate kwa dk. zisizozidi ishirini nikaondoka kwenye mwili wangu na kwenda ninapotaka nikitumia ndizi, kiazi chochote, unyoya wa ndege au ukucha.
Nawezaingia ndani ya chumba cha mtu (lkn niwe namfahamu) na kujichukulia chochote hasa nguo za ndani, hela, vitabu nk kwa ajili ya 'kazi' fulani.
Naweza lala na mkeo na wewe ukiwepo hapo hapo au nikijigeuza mke naweza lala na mmeo lkn matokeo yake m/mke niliyelala naye hawezi pata affection kwa mumewe na kama ni m/me nguvu zake za kiume zinapungua au zinaisha!
Nawezaeleza mengi kwa ushahidi lkn siyapendi na yameniharibia maisha na kuumiza wengine.

Huu sasa ni uchawi.
 
Huu ni uchawi kabisa,
TRIPLE H umejaribu kurembaremba hii mada lakin ukweli ni kwamba ulikua unawanga.

Hebu tueleze madhara uliyokutana nayo wakati ukiloga.
 
Mdau nakuunga mkono huu ni uchawi ndio maana sasa hivi anataka kumrudia Mungu na hakuna faida jinsi anavyoahdithia ni kama anajuta kwa yote ndio maana a natamani kuacha
 
Huu ni uchawi kabisa,
TRIPLE H umejaribu kurembaremba hii mada lakin ukweli ni kwamba ulikua unawanga.

Hebu tueleze madhara uliyokutana nayo wakati ukiloga.

Kuna nguvu za asili na kuna uchawi Pia kuna uchawi uliochanganyika na nguvu za asili na vilevile kuna nguvu za asili zilizochanganyika na uchawi
 
Back
Top Bottom