Sitaki tena kupaa angani

mtoa mada nakupongeza kwa kujitambua sasa maana uliingia gizani na umeyaona ya gizani ambayo ni ya yule mwovu shetani.mrudie muumba wako na ikiwezekana waeleze watu yale mengi yaliyofanyika huko gizani ili wanaong'ang'ania uwafundishe wapate kujua nn kibaya kilichopo humo ambako ww umeona hakikufai na hakiwafai wengine.ushuhuda wako ni darasa tosha kwa kwa walio na upeo.
 

Kusafiri kwa upepo hiyo inabidi uwe una mission maalum ya kudhuru mtu, hivyo sipendi kuitumia kwa sababu wakati mwingine ukiuita upepo unaweza kuchelewa au kimbunga chake kikawa hakina nguvu ukadondoka na kuumia na watu wakakuona kwa physical eyes. Alafu kuna anga nyingine huwezi kuvuka kwa sababu upepo unakinzana na certain powers kama anga la Dodoma mjini!
 

Nimefafanua kwa kifupi kwa wale wanaotaka kujifundisha na kujidhibitishia uwepo wa mambo haya kwenye mchango wangu humu humu na nimewaeleza mitaa mbalimbali na maeneo mbalimbali hapa nchn wanakoweza kupitapita na kugundua japo kidogo huu ufundi wa ulimwengu tunaouita 'another world'
Kwa wanaotaka kujifunza zaidi kwa hasara yao basi wanifuate PM nitawasaidia kuwaelekeza mahali kuna chuo kikubwa kabisa ambapo wanaweza kupata elimu hii bila gharama. Kiko Pwani ya bahari ya Atlantiki kwenye eneo la pembe tatu ya Bermuda (Bermuda triangle) na unajisajili vizuri kabisa bila masharti magumu kwa mabwana fulani (majina yanahifadhiwa) wanaishi Maryland!
 
Mkuu jaribu kupitia maswali uliyoulizwa..japo huyajibu kwa kifupi tu
 
Mkuu TRIPLE H hebu mjibu FaizaFoxy kuhusu majimbo uliyotaja kama miji kabla hatujaamua kuamini post yako. Maana kama umesoma Canada, lazima hivyo vitu vidogo ungevijua... La sivyo ni uongo.
 
Last edited by a moderator:
TRIPLE H Ulijifunzaje??..hatua ulizopitia,challenges ulizozipata wakati wa kujifunza,ilikuchukua muda gani mpaka ukaweza?..unapopaa uko angani unakuwa katika form gani(binadamu au?),unatua vipi na watu hawakuoni??
 
Last edited by a moderator:
Maswali yako

maswali yapi? labda mi cjayaona!
waweza niuliza wewe sasa Tafadhali?
 
😳
Tuwekane wazi Ni astral projection au?
 

Hii ni freemasonry aisee.

Yaan Triple H umekuja ukijidai unajutia kumbe ni mbinu ya kupata wanachama.

Iweje mtu anayetaka kumrudia Mungu bado anafundisha mambo ya kishetani.
 

Kwa Hii Quote Yake Tu Imeshaonyesha Alichokuwa Anakifanya Ni Uchawi Na Ulikuwa Mchawi Na Yawezekana Bado Ni Mchawi Rejea Na Kuomba Samahani Kwa Mola Wako AkuSamehe Hii Sio Meditation Huu Ni Uchawi Tofautisha Chumvi Na Sukari Au Dume Na JikE Mwisho Tofautisha Mungu Na Shetani..

Wote Wanaofanya Meditation Wanamtegemea Mungu Tu Na Imani Ya Kuwa Wanaweza Bila Chochote..

Wote Pia Wanaofanya Meditation Za Kichawi Wanategemea Shetani Ndio Utaskia Leta Nyoya La Panzi Kucha Za Bundi Na Nywele Za Utosi Wa Honey Faith N.k Huo Ni Uchawi


Jinsi Ya Kutofautisha Meditation Ya Giza Na Meditation Ya Mwanga Ni Rahisi Tu...


Meditation Ya GIZA:
Inasharti Sana...


Meditation Ya Mwanga:
Haihitaji Chochote Zaidi Ya Kutuliza Akili Tu..

Na Bora Ulivyogoma Kufundisha Maana Ungefundisha Uchawi Kuizulia Meditation...

Kwa Kukushauri Tu Hata Hicho Kitambulisho Cha Uzi Ungekiandika "Sitaki Tena Kupaa Angani Kichawi"

maana hivyo ulivyoandika umewavuta hadi wanaotumia fastjet,air tanzania,oman air na precision air hapa wamehisi angani labda kumechafuka kumbe wewe unaleta uchawi toka mwanzo nilisema hii haina mashiko...

ushindwe na ulegee katika majina safi ya mwenyezi mungu... halafu ukisharegea basi rudi kwa muumba akujalie nguvu za nuru yani bila masharti ya unyoya wa nyau sijui kuku unatoka tu astral body na kufanya meditation kwa nguvu yako mwenyewe uliopewa na Allah(mwenyezi Mungu).....


"Rakims"
 
Last edited by a moderator:

hahaaaaahhh nilijua tu this is where it lead.... nashukuru mungu kunijaalia kuwa one of the great thinkers vinginevyo hapa ningefuata mkumbo... wake up Tanzania

"Rakims"
 
TRIPLE H Ulijifunzaje??..hatua ulizopitia,challenges ulizozipata wakati wa kujifunza,ilikuchukua muda gani mpaka ukaweza?..unapopaa uko angani unakuwa katika form gani(binadamu au?),unatua vipi na watu hawakuoni??

we jifunze tu siku ukidondoka tunakupigaje mawee!!


"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
triple h usitudanganye wee...hakuna awezaye kuelewa yaliyo meleni mwake au mwa mwenzake isipokuwa muumba na hakuna kiumbe aliyeumbwa bila mabawa akapaa angani...hizi ni hadithi za alfu lela ulela umetuletea leo...mwamini na mtegemee mola wako kwani ndiye aliyekuumba na ndiye ajuaye utafanya nini muda gani...mrejee mola wako kwa uongo wako naye atakusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…