Sitaki tena kupaa angani

Sitaki tena kupaa angani

Huna lolote faiza na huwezagi kukubali mitazamo ya wengine! Unachojua wewe ni kudhani kwamba chochote usichokubaliana nacho ni uongo that's shallow mind...!!! N shallow minded people like you are always short tempered!

Kanisome post namba 221 nilivyomkamata tena kwa uongo mwalimu wako, tena safari hii sijui kama atarudi tena kujitetea. Maana kadanganya uongo wa kijinga kabisa kuliko ule ujinga wa mwanzo niliomsasambuwa.
 
Mkuu TRIPLE H hebu mjibu FaizaFoxy kuhusu majimbo uliyotaja kama miji kabla hatujaamua kuamini post yako. Maana kama umesoma Canada, lazima hivyo vitu vidogo ungevijua... La sivyo ni uongo.

Kajibu na ndipo alipojiingiza kwenye majanga zaidi, maana sasa ndiyo kasema uongo wa kijinga zaidi ya ule wa mwanzo na yeyote humu JF anaweza kuuhakikisha na nimemsasambuwa, kasome post namba 221.
 
Jimbo kuliita mji bado haifanyi stori yote iwe uongo, kiherehere kiko wapi sasa! Mshukuru Membe kukuwezesha kurudi nyumbani.

Kamtetee tena post namba 221, halafu uje na porojo zako za Maembe badala ya Membe safari hii.
 
Huyo mtu ni muongo kasome post namba 221 nimembamba tena uongo wake, tena safari hii wa kijinga kabisa.

Kwa maelezo yake triple H haijui Canada kabisa,ilo linaonekana FaizaFoxy,me nauliza ni kweli Membe ndo alikurudisha nchini???
 
Wacha uongo na porojo, kasome tena, labda hujanisoma vizuri, nimekukosoa pia kuhusu Fort Hills na kuhusu Saskatchewan, zote hizo ni "ukachanganya"? unataka kutuaminisha Ontario ni "typing error" ya Ottawa?? wapi na wapi?

Bado unaendeleza uongo! unasikitisha sana, Canada ina (Provinces) majimbo 10 (Kumi) na si matatu kama utakavyo wewe. Ontario ni jimbo la pili kwa ukubwa na ni lenye wakazi wengi zaidi katika Canada (most populous province).

Nnakushangaa sana unaposema "Kama siku hizi Ontario nalo ni jimbo hilo mi sijui naelezea mambo ya miaka ya '90.". Khaa, Ontario ni kati ya majimbo mawili ya kwanza Canada kuanzia mwaka 1841 zilipoungana Canada Magharibi (Ontario) na Canada Mashariki (Quebec). Sasa uwepo Canada 1990 usijuwe kama Ontario ni jombo? hivi uongo huwa unawasaidia nini?

Hilo la Fort Hill ndiyo hunambii kitu nenda kafanye tena home work yako. Huko nnapajuwa zaidi ya nnavyoijuwa Tanzania. Kumbuka hilo.

Sasa nnamwaga mboga, ugali na nnapindua masufuria yote. Nnaumaliza huu ubishi na uongo wako na wa huyo mwanafunzi wako ajiitae Mshana Jr. akujuwe kuwa mwalimu wake u muongo na wote humu JF wakujuwe kuwa wewe ni muongo tena wa kutupwa jalalani, tena unafaa upigwe ban kwa uongo kama huu, wa kuidanganya jamii nzima ili iwe fundisho kwa wengine kama wewe:

Uongo mkubwa zaidi wa yote ni huo wa Hudson University. Hakuna kitu kama hicho Canada.

Hiyo Hudson University iko wapi Canada au kwengine kokote? unatazama vipindi vya TV na Cinema za Kimerekani unaona jina Hudson University ambayo ni University ya kwenye kuigiza na si ya kweli unakuja kutudanganya hapa?

Hivi huwa mnafikiri wote ni misukule humu ndani ya JF.

Wacha Uongo.

Wewe si punguani wahed, wewe ni punguani millioni.

mi nasubiri aje ajibu maana mi alikuwa ameshanikamata! Jf raha sana!
 
Kamtetee tena post namba 221, halafu uje na porojo zako za Maembe badala ya Membe safari hii.
Huyu triple h kweli ni muongo, sijui lengo la kuidanganya JF ni nini hasa! Hiyo habari ya kusaidiwa na Membe naiweka pembeni, wengi hampendi mambo yenu kufahamika, usije nitoa roho.
 
Wacha uongo na porojo, kasome tena, labda hujanisoma vizuri, nimekukosoa pia kuhusu Fort Hills na kuhusu Saskatchewan, zote hizo ni "ukachanganya"? unataka kutuaminisha Ontario ni "typing error" ya Ottawa?? wapi na wapi?

Bado unaendeleza uongo! unasikitisha sana, Canada ina (Provinces) majimbo 10 (Kumi) na si matatu kama utakavyo wewe. Ontario ni jimbo la pili kwa ukubwa na ni lenye wakazi wengi zaidi katika Canada (most populous province).

Nnakushangaa sana unaposema "Kama siku hizi Ontario nalo ni jimbo hilo mi sijui naelezea mambo ya miaka ya '90.". Khaa, Ontario ni kati ya majimbo mawili ya kwanza Canada kuanzia mwaka 1841 zilipoungana Canada Magharibi (Ontario) na Canada Mashariki (Quebec). Sasa uwepo Canada 1990 usijuwe kama Ontario ni jombo? hivi uongo huwa unawasaidia nini?

Hilo la Fort Hill ndiyo hunambii kitu nenda kafanye tena home work yako. Huko nnapajuwa zaidi ya nnavyoijuwa Tanzania. Kumbuka hilo.

Sasa nnamwaga mboga, ugali na nnapindua masufuria yote. Nnaumaliza huu ubishi na uongo wako na wa huyo mwanafunzi wako ajiitae Mshana Jr. akujuwe kuwa mwalimu wake u muongo na wote humu JF wakujuwe kuwa wewe ni muongo tena wa kutupwa jalalani, tena unafaa upigwe ban kwa uongo kama huu, wa kuidanganya jamii nzima ili iwe fundisho kwa wengine kama wewe:

Uongo mkubwa zaidi wa yote ni huo wa Hudson University. Hakuna kitu kama hicho Canada.

Hiyo Hudson University iko wapi Canada au kwengine kokote? unatazama vipindi vya TV na Cinema za Kimerekani unaona jina Hudson University ambayo ni University ya kwenye kuigiza na si ya kweli unakuja kutudanganya hapa?

Hivi huwa mnafikiri wote ni misukule humu ndani ya JF.

Wacha Uongo.

Wewe si punguani wahed, wewe ni punguani millioni.

UKWELI WA HUDSON UNIVERSITY

Hudson University is a fictional university frequently depicted in Law & Order and its spin-offs, and less frequently in many other television series, and in the DC Comics universe.[SUP][1][/SUP] It is generally described as being in New York City, which sits alongside the Hudson River. Contents

Television

Blue Bloods

Hudson University was mentioned in the CBS drama Blue Bloods in Season 2, Episode 14 when 3 protesters were arrested for assault on a police officer and also in Season 4, Episode 19 after an English Professor was found murdered.
Castle

Hudson University is also used in ABC's Castle starring Nathan Fillion in the episodes "The Mistress Always Spanks Twice," where the victim was a student at the fictional school; and "A Deadly Game," where the police encounter Ukrainian exchange students at Hudson who have bought counterfeit IDs. The school appears again in the episode "Close Encounters of the Murderous Kind," as the location of an altitude chamber. The school was mentioned in the episodes "Head Case" and "Dial M for Mayor" as the employer of the episodes' victims. It is alluded to in "The Fast and the Furriest" as the school of the victim, an evolutionary biology major who was killed while supposedly tracking Bigfoot. Most recently, in "Time Will Tell," the target of an assassin who may or may not have been from the future was a physics student at Hudson.
The Cosby Show

Hudson University is also used in the NBC sitcom The Cosby Show as the medical school Cliff Huxtable attended.
Degrassi: The Next Generation

Hudson University is also used in the Canadian teenage drama Degrassi: The Next Generation. One of the main characters, Jimmy Brooks, receives acceptance to the university's Law program.
Law & Order

Hudson University is a fictional university in New York City from the television series Law & Order and its spin-offs.
Over the years, Hudson University has seen several detectives visit its campus in search of suspects and witnesses, especially in cases that involve college students and professors. By using a fictional school rather than a real college, the writers of Law & Order are able to weave the university into several narratives without the fear of misrepresenting the rate of crime at one of New York's actual institutions of higher learning.
Hudson University is a composite of several colleges and universities located in New York City including Columbia University, Barnard College, Pratt Institute, Brooklyn College, College of Mount Saint Vincent, Hunter College, Lehman College, New York University, City College of New York, Queens College, Union Theological Seminary, General Theological Seminary, Pace University and Fordham University, all of which have been used as filming locations. For filming purposes, NYU is one of the least used locations in the series due to the high cost of filming in the university's buildings and surrounding area (one of Lennie Briscoe's daughters, Julia, was once said to be a film student at NYU, but the show never filmed there). The show has shown Hudson University on a map of New York City where the real life Yeshiva University is located, and a Season 20 episode, "Innocence", depicted a fictional "Hudson Innocence Project" modeled on the real life Innocence Project at the Benjamin N. Cardozo School of Law at Yeshiva University. That same episode also identified Executive Assistant District Attorney Michael Cutter as a graduate of Hudson's Law School, making him the first Law & Order prosecutor to have graduated from a fictional law school.
In Law & Order: Special Victims Unit, Detective Elliot Stabler's daughters Maureen and Kathleen are students at Hudson University. The seal of the university is visible in the background during a scene in the season 12 episode "Gray," indicating that the university was established in 1876.
The Secret Life of the American Teenager

The Secret Life of the American Teenager, which takes place in Valley Glen, California, depicts a Hudson University in New York, to which two of its main characters, Amy Juergens and Ben Boykewich, have been accepted.
Unforgettable

Hudson University was used on the CBS drama Unforgettable in the episode "Day of the Jackie," and again in the episode "Till Death," with scenes set in the campus bookstore and Dean's office.
The Flash

Hudson University was used in the Flash episode "Revenge of the Rogues," where it was used as the location of the creation of Project FIRESTORM.
Murder, She Wrote

In Murder, She Wrote Season 8 (1991-1992) Angela Lansbury as Jessica Fletcher heads off to New York to teach a criminology class at the fictional Hudson University. In episode 2 of Season 8 "Night Fears" Jessica is challenged by another professor to a contest to see who can solve a string of crimes taking place on the Hudson University campus.
Beauty & the Beast

In this CW television show, Hudson University is the fictional location in which J.T. Forbes works as a bio-chemical professor. The school logo is seen in episode 5 of Season 1 when J.T. was taking technological items from school campus.
Comics

Hudson University is a fictional location in the DC Universe. It was first mentioned in Batman comics in the late 1940s.[SUP][2][/SUP] Like many fictional locations in the comics, Hudson University's corresponding location in the real world is never made clear. According to the Atlas of the DC Universe (published by Mayfair Games), it is located in the fictional city of New Carthage, New York.
Notable former students at Hudson University include Dick Grayson/Robin (who only attended for one semester), Professor Martin Stein, Crystal Frost, Louise Lincoln, and Duela Dent. The father of Amy Winston was a professor of English at Hudson.
In New Adventures of Superboy #51 (1984), a teenaged Clark Kent is shown pondering whether to accept an offer to attend Hudson University, but eventually chooses Metropolis University in Metropolis instead.
References

Categories:
 
TRIPLE H hao walinzi wa doria huko unakopaa ndo wakina nani?
 
Last edited by a moderator:
Kanisome post namba 221 nilivyomkamata tena kwa uongo mwalimu wako, tena safari hii sijui kama atarudi tena kujitetea. Maana kadanganya uongo wa kijinga kabisa kuliko ule ujinga wa mwanzo niliomsasambuwa.

Sihitaji kusoma takwimu zako faiza! Hizo kwangu hazina maana yeyote ile hivyo usitumie nguvu nyingi kunilazimisha kitu ambacho hakinisadii chochote!
 
Shetani anawatumia binadamu na vibaraka vyake majini katika kuwavuta wengi katika himaya yake. Mambo haya mwanzo yalijulikana kama uchawi ila sasa kutokana na maendeleo ya kisayansi and everything at large tunayaona kama ni ya kawaida. Kiukweli haya ndio mambo ambayo yanamuhusu Mungu na maraika zake tu na hakutaka hata binadamu tuyafahamu kwasababu hatutayatumia katika njia sahihi zaidi ya mabaya na machukizo mbele zake.
Hizi ni zama za mwisho na shetani anajitahidi sana kuwavuta wengi kupitia maendeleo na kupanua knowledge za wanadamu ili wayachukulie haya mambo ni kawaida and we deserve to have this knowledge.
Angalieni ndugu zangu, mtoa mada amekili mwenyewe kuwa anataka kuacha na kumfuata Mungu. Sasa la kujiuliza kwamba yuko tayari kumjua Mungu na kumfuata that means aliyokuwa akiyafanya ni mambo yanayomhusu shetani katika kukufanya umchukie Mungu nawe uwe chukizo mbele za Mungu. Be aware of it

Well said mkuu... Be blessed
 
Huyu triple h msanii sana.
Amesoma vitabu vya hadithi na kuangalia sinema za mazombi then anajifanya yeye ndio sterling wa hizo sinema.

Ndio Nilichokuwa Nafikiri Maana Hizo Psychic Powers Zenyewe Anazosema Anazo Nyingi Ni Za Kwenye Movies & Supernaturals Series.....

"Rakims"
 
Back
Top Bottom