Sitakusahau Morogoro Msamvu

chief hili nimelichukua aixee japokuwa sidhani kama boss akinisamehe nitathubutu kuchukua tena malaya
 
Mkuu kama nakuona vile. Yaani soo kama hili mida hii unajiskia kufakufa, njaa haiji na hutaman kula, ukimuona boss kila anachofanya unadhani anakulenga kumbe huenda hata hana habari na wewe.

Ukute na boss wako yameshamkuta kama hayo, hapo anajipa 5 tu kwamba hayupo peke yake dunia hii.
 
chief hili nimelichukua aixee japokuwa sidhani kama boss akinisamehe nitathubutu kuchukua tena malaya
Utachukua tu. Hawa viumbe watamu sana huwa huwezi kuwatenganisha na pombe.

Akili ya mwanadamu imeumbwa kusahau na kujipa moyo. Jiulize kwa nini akina mama wanashika mimba tena pamoja na maumivu wanayopata Leba
 
Moro kuna ukimwi balaa. Nyie jisifuni tu mtaona matokeo
 
chief hili nimelichukua aixee japokuwa sidhani kama boss akinisamehe nitathubutu kuchukua tena malaya
Kuwa mwangalifu unapokuwa maeneo ngeni.
Labda nikupe mfano:
Ukienda afrika kusini ukachukua kahaba akikutizama atagundua wewe si mzulu bali ni mgeni,
Hivyo atakupangia gharama kubwa ya kumchukua yeye.
Ndicho ulichokifanya wewe.
Huyo kahaba alijua wewe ni mgeni maeneo hayo.
Kingine umemwonyesha hela,

Na umeshindwa kuonesha msimamo wako kama alisema 40,000/=
Uumpe hiyo hiyo hata Angelia vipi usimuonee huruma
Alishakuona wewe ni dhaifu ndio maana akalilia ili umuongezee.

[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji379]
 
mkuu hapo msanvu ni balaa hata hivyo mbona amekupiga dau kubwa sana hapo wanakwenda paka buku tano ama ulikula mtandao pia kacheki na ngoma naamini kwa kua ulikua gumbizi lazima ulipiga magulu baja
 
Usiogope mkuu maana unaweza kuta boss wako nae alikuwa na mzigo wake tena wa kilo we wa fote sema usingeonesha mawe mbele yake afu siku ingine angalia type ambazo si tata mbona zinajulikana
 

Huyo sio malaya professional. .....hua wanadai pesa kabla ya huduma
 
Acha tu msamvu kwenda mikumi sio parefu sana lakini niliona kama natoka Dar kwenda kahama au kigoma gari ina kiyoyozi lakn kijasho kwa mbali.
hahahaaaaa kama nakuona vile ulivyotamani mda urudi nyuma urekebshe hilo tukio.......ila ndo vile tena
aa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…