Sitakusahau Morogoro Msamvu

Ungesogea hapo samaki samaki ungepata mwenye kiwango kwa bei rahisi.
 
angekunyonga au kukuchinja ndio ungeshika adhabu...kwanini usitulie kaka yangu hebu ona fedheha iliyokupata hata ukiitwa na bosi wako nafikiri akili inahama kidogo hata bosi wako akiwa mahali na mtu akawa anamnongoneza kitu wakacheka basi utajua wanakucheka wew..uwiii hapo kisaikolojia umeshake kidogo pole hizo ndio tamaa za kaka zetu kwa sababu ya noti ya mfukoni inayosumbua..haha..ungemtumia mama yako hiyo hela akanunua sukari si ungebarikiwa zaidi...Tafakari chukua hatua....
 
Kwani ulikula kitu "tigo"...?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaleo kalii
 
Ungesogea hapo samaki samaki ungepata mwenye kiwango kwa bei rahisi.
Nimepita hapo nikiwa naelekea Turiani juzi nimeishia kupaangalia tu mkuu siku hizi napaheshimu morogoro.
 

Dah!! Kaka Punguza ukali wa maneno

Ingawa unaongea ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…