Sitakusahau Morogoro Msamvu

Sitakusahau Morogoro Msamvu

Ungesogea hapo samaki samaki ungepata mwenye kiwango kwa bei rahisi.
 
angekunyonga au kukuchinja ndio ungeshika adhabu...kwanini usitulie kaka yangu hebu ona fedheha iliyokupata hata ukiitwa na bosi wako nafikiri akili inahama kidogo hata bosi wako akiwa mahali na mtu akawa anamnongoneza kitu wakacheka basi utajua wanakucheka wew..uwiii hapo kisaikolojia umeshake kidogo pole hizo ndio tamaa za kaka zetu kwa sababu ya noti ya mfukoni inayosumbua..haha..ungemtumia mama yako hiyo hela akanunua sukari si ungebarikiwa zaidi...Tafakari chukua hatua....
 
Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.

Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.

Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Kwani ulikula kitu "tigo"...?
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.
Sio lazima ufe wewe, chaweza kufanya cheo chako, yaweza kufa KAZI yako.
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaleo kalii
 
Ungesogea hapo samaki samaki ungepata mwenye kiwango kwa bei rahisi.
Nimepita hapo nikiwa naelekea Turiani juzi nimeishia kupaangalia tu mkuu siku hizi napaheshimu morogoro.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.
Sio lazima ufe wewe, chaweza kufanya cheo chako, yaweza kufa KAZI yako.
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana

Dah!! Kaka Punguza ukali wa maneno

Ingawa unaongea ukweli.
 
Back
Top Bottom