Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kulala na demu usiku mzima huku umepata kinywaji unaongeza asilimia za kwenda pekupeku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulikula kitu "tigo"...?Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.
Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.
Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Kumbe kuna thamani ya Mauno...!Naomba nipe categories[emoji124] [emoji124] [emoji124]Uno alilokupa ni kweli la elf 70? Au kakupunja...
Yeye si dume suruali...!Yawezekana ina Tv ndaniUNATOA ELFU 70 KWA MBUNYE ??? AU ILIKUWA NA AC,INFARED NA BLUETOOTH MPAKA UTOE HELA YOTE HIYO
Kuna hadi uno la jeroKumbe kuna thamani ya Mauno...!Naomba nipe categories[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Inabidi nikutafute asee niyaone hayo mauno...!We niruhusu nikuPm ntayalipia tu niyaone maana hakuna namna nyingineKuna hadi uno la jero
Nenda msamvu tehInabidi nikutafute asee niyaone hayo mauno...!We niruhusu nikuPm ntayalipia tu niyaone maana hakuna namna nyingine
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaleo kaliiMshahara wa dhambi ni mauti.
Sio lazima ufe wewe, chaweza kufanya cheo chako, yaweza kufa KAZI yako.
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana
Msamvu tena...![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nenda msamvu teh
Nimepita hapo nikiwa naelekea Turiani juzi nimeishia kupaangalia tu mkuu siku hizi napaheshimu morogoro.Ungesogea hapo samaki samaki ungepata mwenye kiwango kwa bei rahisi.
Siku hizi nimeacha kabisa hizo mambo mkuu.Usirudie tena utapoteza maisha kwa stahili hizo
ha ha ha situmiagi hiyo kabang...Kwani ulikula kitu "tigo"...?
Duh! Nimecheka sana halafu nikatafakari nikaishia kuhuzunika!Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana
Mshahara wa dhambi ni mauti.
Sio lazima ufe wewe, chaweza kufanya cheo chako, yaweza kufa KAZI yako.
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana