Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona.

* Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa!

* Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki za binadamu!

Ingawa sitamani kuwa RC lkn ikitokea nikawa RC ukali wangu ni zaidi ya Makonda mara 💯. Sitataka utani na akina Lema, Msigwa, Mnyika, Mrema, Heche nk.
 
Mkuu wa mkoa ni wakawaida tu asipoungwa mkono na rpc na RSO. RPC ndo roho yake. Ataropoka weka ndani.... Baadae rpc anatoa maelekezo ya kumwachia Kwa dhamana.

Utaaguza mtumishi fulan afukyzwe au kusimamisha..... RAS na other CEOs wanamchora tu.
 
Saaqawa
 
Back
Top Bottom