Sitamsahau huyu dada

Hujui kitu naona stress za January zinakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nirushie namba yake aje longido nahitaji bwawa
 
Eti Aswan High Dam umenikumbusha sekondari mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiba100 ww, hayo huwa yananifaa sana hasa likiwa na maji ya kutosha tofauti na hiyo mnaita minato sijui maana nadhani nina ulemavu wa via vya uzazi this thing is extra large. Nipe namba yake huenda huyo akadumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tehe tehe..unamaanisha nini mkuu

mtoa mada labda huyo sio wa type yako...

wapo wanaopenda hayo mabwawa,na hawaogelei..

Sali umpate mwenye urefu wa kina chako

halafu hii tabia ya kukutana na wadada huko na kuja kusimulia ni ya kitoto sana..
Fia mbele yaani nitumie 1.5m afu nikute bwawa nisimind we vip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…