RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
- Thread starter
- #41
Hujui kitu naona stress za January zinakusumbuaHata miye nimeshangaa. Mtu mzima unakuja jf kutangaza kuwa we ni team kiba100!! Dah! Fikiri, gharama zoote hizo kabla hujaiona, wadhani huyo alipokuwa njiani alikuwa anasubiri nini tena alipokuona?? Nadhani hata njiani alikuwa ana loba step kila alipokuwaza kwani utelezi ulikuwa ukimsumbua. We unauita ati Aswan??
Wanawake mkipenda msiongeze kumtamani kama humjui. Wapo wasiojua kukuandaa wanarukia tu ka kipemba. Pole sana ila inaonesha dada wa watu alizidisha tamaa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app