Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano.
Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto hata mmoja (biological child), hivyo siwezi kuoa mwanamke aliyekwishazalishwa. Nataka Binti atakayenilea nami nimlee. Sitaki Binti mwenye maziwa nataka chuchu nizikuze mwenyewe.
Watoto wa Barack Obama wamenipuuza baada ya kushushwa chini lakini watanipigia magoti kipindi Mimi siko tayari.
Nawashukuru Mr. Eugene na Mkewe Keysha kwa kunizalia mke Binti yao Geneva.