Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

Ni Maisha ya kawaida tu. Ila TANZANIA hakuna wanawake wa hadhi yangu na ndio maana mpaka Leo sijawahi kupata mwanamke wa kunizalia maana Tanzania wanawake Ni Matapeli.

Hata yule dada wa tanga mwenye mgahawa alikutapeli
 
Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote Ni Wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto hata mmoja(biological child), hivyo siwezi kuoa mwanamke aliyekwisha zalishwa. Nataka Binti atakayenilea nami nimlee.Sitaki Binti mwenye mtindi wa maziwa nataka chuchu nizikuze mwenyewe.

Watoto wa Barack Obama wamenipuuza baada ya kushushwa chini lakini watanipigia magoti kipindi Mimi siko tayari.

Nawashukuru Mr. Eugene na Mkewe Keysha kwa kunizalia mke Binti yao Geneva.
View attachment 1975491
View attachment 1975414
Kumekucha
 
Haya haya haya haya sasaaaaa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom