Wakiwa wengi huitwa "wadudu", akiwa mmoja huitwa "mdudu".Wadudu wakiwa wengi akiwa mmoja ni "ndonga" au "Dudu."
AiseeNimecheka mbavu sina,
Hapa kuna mambo mawili
Kwanza,jamaa anaweza kuwa ni wale watu walioishia darasa la pili au la tatu (kwa huku jijini Mwanza wapo wengi sana) so,wanakuwa na uandishi huo
Pili,naona jamaa anafanya comed na huyu atakuwa intertainer mzur sana hapa Jf baada ya GuDume,General galadudu na Slim 5
hata faru john hamkumwonaBugani turiona wanyama wakumbwa kwa wadongo turiona fisi, nyat, nyubu simba tuiga farasi na ware wanawofanana na ngombe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wingi wa DUDU ni nini mkuu?Wakiwa wengi huitwa "wadudu", akiwa mmoja huitwa "mdudu".
Dudu ni kimelea kinachopendelea kuishi mazingira ya jotojoto mwenye uwezo wa kutapika hata mara kumi kwa siku.
Pia kiumbe huyu ana tabia ya
Mnyama ndonga namfuga hapa njoo uoneNdonga sikuiwona wakati tupo seregeti
Jifunze kuquote mkuu....Sim ni yagu sio ya mama
DUDU's [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wingi wa DUDU ni nini mkuu?
Tangu lini msukuma akajua kuquote? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Jifunze kuquote mkuu....
Huwa hatuquote hivyo ....
Bonyeza hapo quote ndo unakuwa umeni quote mkuu wanguSijuyi kutumiya sana hu mtandawo najifuza taratibu na hicho urichosema sijui kukifanya?
Mrithi wa Pdidy.Nimecheka mbavu sina,
Hapa kuna mambo mawili
Kwanza,jamaa anaweza kuwa ni wale watu walioishia darasa la pili au la tatu (kwa huku jijini Mwanza wapo wengi sana) so,wanakuwa na uandishi huo
Pili,naona jamaa anafanya comed na huyu atakuwa intertainer mzur sana hapa Jf baada ya GuDume,General galadudu na Slim 5
DUDU's siyo wingi mkuu.DUDU's [emoji38][emoji38][emoji38]
Huku A town ni mshedede.Hivi ndonga ni nini eti? Nimeuliza nikaambiwa ni biscuit
Naelewa mkuu nilikuwa namtania mtoto hapo juu ili atiririkeHuku A town ni mshedede.