Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

Hii lugha gani tena au ndio kiitariano
😀😀
 
aisee sijamaliza kusoma huu uzi,nimeishia kucheka kwa sauti tu.
 
Hahaha huyu jamaa ana nichekesha sana kama kweli hufanyi kusudi, niishie hapa.
 
Niriandika abali kuusu mujomba wagu wa itaria kutununuria tivii siini iripo?
 
2013 mama yagu arienda itaria arirudi na vitu vingwi alivyopwewa na mujomba?
 
Sitasaau[emoji735] sitasahau
S
afali[emoji735] Safari[emoji819]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…