Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

Huyu jamaa bhana anazingua, hio article ameandika kindezi makusudi tu ili watu tucheke! Mtu alioishia la pili hawezi kuwa mjanja kujua hadi kujisajili na kuja kupost humu! Ni ngumu
 
Mimi kabira rangu ni musukuma hila nimewai kuhishi gairo hila kwa sasa nipo zega tabola nafanya kazi kwnye nduka ya muindi.?
 
Niripojisajiri lafiki yagu arinierekeza namuna ya kuwandika mahada na kujibu.
 
Basi kajiandikishe upate elimu bure ya Magufuli.
 
Mudongo wangu kahenda itaria mwenzi iriyopita mujomba kamuchukuwa akasomee mabo ya mawasiliyano.
 
Nina miyaka 28 nitapata wapi shure kaka yagu.
 
Mimi kabira rangu ni musukuma hila nimewai kuhishi gairo hila kwa sasa nipo zega tabola nafanya kazi kwnye nduka ya muindi.?
Wahindi wamekuaribu mkuu naona wamekulisha sana kothmir🤣🤣 na Guo za kupewa pembe ya panzi chukua Guo
 
Siwezi kukuambiya niko wapi mahana nasikiya humu siyo sarama sana kutowa namba au kusema uripo.
 
Niripotegenenzaa akauti niriambiwa na lafiki yagu nisiseme niripo ni atari kwangu.
 
[emoji23] [emoji23]
Eti chukuo Guo.....haahaaa wahindi bana
Mkuu witnessj:wahindi ndio zao cku mkikosana utackia mimi patia ww Guo [emoji28][emoji28] alafu izo Guo ukiziona hta jalalani hazifai kutupwa
 
Sikuwanhi kufukuzwa na muindi nafanya nawo kazi nzwuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…