Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

ongela zana kwa safali na mujoba ako seregeti akiludi mambie asalimu dugu sake wa itaria.
 
We Makoye ile bangi niliyokuuzia ukasema unaenda kuwapa Mbwa kumbe umekula wewe? Umeona hasara za uongo? Ona sasa unavyonitia aibu humu, wanajamvi naomba msamaha kwa niaba ya ndugu yangu huyu,
 
Ooh kwa mantiki hiyo unachanganya kihindi,kiswahili na kisukuma ndio inapatikana lugha yako mkuu?
Mimi kabira rangu ni musukuma hila nimewai kuhishi gairo hila kwa sasa nipo zega tabola nafanya kazi kwnye nduka ya muindi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…