Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Huyo mu
Huyo ni muongo Strong room naifahamu ya mgodi Fulani aisee hata uje na uganga huibi bar yoyote ya dhahabu, hata licha ya uwepo wa ulinzi wa watu na camera wazungu nao uchawi wanaujua sana.
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokusibu,ila naomba nikurekebishe kidogo...wewe hukuwa kwenye uchimbaji wa dhahabu,bali ulikuwa kwenye utafiti yaan exploration....hapo ulikuwa unafanya hatua za awali za utafiti wa dhahabu...uchimbaji wa dhahab ni pale unapochimba karibu na duara la mwenzako kwenye uelekeo sahihi wa mwamba,au pale unapochimba sehemu iliyofanyiwa utafiti wa kijiolojia tayari...niwatie moyo wale wanaofanya hii biashara kufuata njia sahihi za uchimbaji,ukizingatia maswala ya upimaji sample,risk management yaan kama sehem kuna maji basi acha kama unayamudu frsh,kama huwezi basi unaacha,mtaji nao ni muhimu kuwa nao mkubwa kiasi,ila kikubwa kuliko chote fanya hii biashara kwa kubana gharama vile unavyoweza,npo kwa ushauri wa bure
 
MC44 Nna swali hii experience uliipata miaka iliopita, wakati sharia ya madini hivi karibuni kurekebishwa ilikua bado haijapitishwa, vipi unafikiri hii sharia mpya ya leo inalipa kama ilivyokua ya mwanzoni na vipi changamoto zimepungua au zipo Zaidi ya mwanzo?.
 
Huyo mu

Huyo ni muongo Strong room naifahamu ya mgodi Fulani aisee hata uje na uganga huibi bar yoyote ya dhahabu, hata licha ya uwepo wa ulinzi wa watu na camera wazungu nao uchawi wanaujua sana.
Ndo maana mwisho nikasema sikumwamini sana huyu
 
Nilijifunza kwa macho sikuwahi kufanya practical tofauti na zile za kuosha.
Sheria ya madini sikuwahi kufuatilia
 
Duara za pembeni zilizalisha na mkanda ukaonekana unakuja upande huo
 
Ila kipindi anauza vitu vyake alionekana fala
 
hata sijasoma sana.Kwa kifupi habari mbay na ngumu kama hiz huwa haznifurahishi zaid ya kunisikitisha tu.Pole sana mkuu.
 
Hongera sana.
Wabongo wengi waliofanikiwa kwenye hizi kazi wanakuwa na roho mbaya sana hatujui mapito waliopitia tuu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ndo kosa lake huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unacheka huku unajifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…