Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdhamini wa duara unashindwa na mmiliki wa makarasha kupiga noti
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivyo ndio havikati?.Sijawahi na sitawahi dhamini duara mimi!anachoongea ni kweli tupu!acha tujikimbizie vifusi na kununua vifusi kina sie!
Biashara ya karasha....ipo hivi.... Mtaji angalau mil 10Unabaki kushangaa..kwel watu tumetofautiana sana
Mkuu sijaelewa hapo unaposema mteja akileta mawe umsagie bure na uandae usafiri Ina maana hiyo biashara faida yake nini Sasa?Biashara ya karasha....ipo hivi.... Mtaji angalau mil 10
Then uwe na duara ya kuleta mzigo.
Maana kila mtu anapeleka duarani kwake.
Na hapo wanalenga tuu kifusi ili kuwapata wale wa mmoja mmoja....mteja akileta mawe...lipia usafiri.....na umsagie bure.
Jiandae ela ya dieseli.
Ni kazi sana kwenye hii sekta
Biashara ya karasha....ipo hivi.... Mtaji angalau mil 10
Then uwe na duara ya kuleta mzigo.
Maana kila mtu anapeleka duarani kwake.
Na hapo wanalenga tuu kifusi ili kuwapata wale wa mmoja mmoja....mteja akileta mawe...lipia usafiri.....na umsagie bure.
Jiandae ela ya dieseli.
Ni kazi sana kwenye hii sekta
Kifusi na pembulioMkuu sijaelewa hapo unaposema mteja akileta mawe umsagie bure na uandae usafiri Ina maana hiyo biashara faida yake nini Sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua kifusi uwe na mtaji .
Na mkemia wako awe vizuri.
Akupe makadirio mazuri na faida.
Unakuta kifusi mil 100 hadi 200
Inategemeana.Hicho cha milioni 50 labda kitakulipa ngapi?. Vipi hiyo huwezi kuingia hasara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea km hana unamlipia akichenjua dhahabu unakata!Usafiri mnalipa?
Kifusi
Sijawahi na sitawahi dhamini duara mimi!anachoongea ni kweli tupu!acha tujikimbizie vifusi na kununua vifusi kina sie!