Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

Hapo lengo la Mchepuko
Ni amfrustrate mkeo ili mgombane,wife abebe vyake aondoke muachane. Afu akuchukue Moja kwa moja.

Hii imewahi nikuta,
MamaJ kamtafuta wife kwenye Simu na kaanza kumtukana kwa namba ngeni,

Akaona haitoshi kaniwekea chupi kusudi kwenye koti,Wife kainasa. Kisha kwa namba ngeni akamwambia yeye ndo kaweka na tulikua tunanyanduana.

Nilimfata nikamuwasha makofi ya Nguvu mpk tukafikishana polisi,
Nowdays ana discpline Sana kwa wife.

NB: hicho kisa nishawai kukileta humu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Akanipa Pole nyingi zilizojaa upendo, akani sponge na maji ya vuguvugu, akaniwashia ac , akanikumbatia kisha tukalala”

Mwanamke wa Hivi bado ajazaliwa, nimeishia kusoma hapa!
Mungu hajamaliza uumbaji bado, muombe akupe.
 
Angekuwa mke wangu ningefika nyumban angenimwagia mafuta ya moto
 
Ushuhuda mzuri sana. Nintamani wanawake walio kanisani wangeupata huu ushuhuda wajue jinsi ya kuwasidia wanaume wao walioshikwa na shetani wa umalaya pamoja kuangamiza familia.
 
Back
Top Bottom