DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Michepuko mingi ya hivi huwa Ni mipagani, hofu ya mungu Ni sifuri kabisaHahah hahah hapana, alikuwa ni mpagani
Kama MKE wangu,Una mke wa baraka Sana, huyo Ni kiboko ya mchepuko!
Kweli aiseeNa Michepuko mingi ya hivi huwa Ni mipagani, hofu ya mungu Ni sifuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hajamaliza uumbaji bado, muombe akupe.“Akanipa Pole nyingi zilizojaa upendo, akani sponge na maji ya vuguvugu, akaniwashia ac , akanikumbatia kisha tukalala”
Mwanamke wa Hivi bado ajazaliwa, nimeishia kusoma hapa!
[emoji23]acha masihara basiAngekuwa mke wangu ningefika nyumban angenimwagia mafuta ya moto
Ila ndugu yangu pamoja na upendo anaokuonyesha ni Kama umetekwa na mama JKama MKE wangu,
Ujue Joannah mke akikuonesha upendo sehem ambayo alitakiwa akasirike muachane Ni Lazima TU urudi nyuma ujistukie na ujutie makosa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wangu alishajinyonga mara 3 nikawa na mwokoa,mara ya mwsho aliniambia kwasasa amechoka hatajidhuru bali ataniua mimi
Hivi Naka uncle erala vintu vyedi bado kana wapata ungi? Nnafwe sinawahi kuyaana na mbora wa kimpare..[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Michepuko ina kaziii jaman yote hayo ni ili awe noticed
Ndani mzee kakwepa mishale mingiWe mzee bana huishi vituko...sasa ulivyorudi nyumbani ikawaje
Mmwire akugavie kadori...ashige uchoyo.Hivi Naka uncle erala vintu vyedi bado kana wapata ungi? Nnafwe sinawahi kuyaana na mbora wa kimpare..[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]