Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

Bendera ya Bati Nijuavyo mimi ebzi hizo ada kwa shule za serikali ilikuw kati ya 10k to 16k
Je hii yako ilikuwa private?
Ilikuwaje uwe na kibunda kikubwa hivyo cha kufanya hayo yote..lodge, viatu na nguo?
 
😆😆😆😆 Unaajua,nikwambie kitu, Mimi nilikuwa natokea mbali hivyo wazazi zangu walikuwa wananijali sana mzee alikuwa anafanya kazi taasisi kubwa so hakutaka nipate shida kabisa.
 
😆😆😆😆 Unaajua,nikwambie kitu, Mimi nilikuwa natokea mbali hivyo wazazi zangu walikuwa wananijali sana mzee alikuwa anafanya kazi taasisi kubwa so hakutaka nipate shida kabisa.
Hapo sawa
 
Kuna baadhi ya watu wanaudhi sana hapa JF. Kumbe ndio maana watu wanaishia katikati ya story zao wanakimbia. Unakuta ka mtu kanakula ugali wa kuletewa kanashiba kanakosa sehemu ya kupumulia kanakuja kupumulia hewa hapa.
Acha ujinga. Kaa chini tunga story kwa akili uilete hapa. Usitake kukimbia dogo. Ila utumie akili kutunga na uwe unaandika vizuri unajaza maneno yasiyo na tija.
 
Unajaza tu server. Story haina mvuto maneno mengi hayana faida. Imepoa na maelezo ya kitoto tu. Muwe mnaangalia kabla ya kutunga kwanza. Angalia wasomaji ni watu wa namna gani
 
Unajaza tu server. Story haina mvuto maneno mengi hayana faida. Imepoa na maelezo ya kitoto tu. Muwe mnaangalia kabla ya kutunga kwanza. Angalia wasomaji ni watu wa namna gani
We chizi kweli. Umelazimishwa kusoma?
 
Mimi huyu tena😂😂 najitahidi kuwa mtoto mzuri mbona, halafu nilitaka kutafsiri ila nimeghairi
SIo kila mtu anapaswa kuiona uzuri wako, mimi nikiuona na yule boss inatosha😂
 
SIo kila mtu anapaswa kuiona uzuri wako, mimi nikiuona na yule boss inatosha😂
Tuachane nae, kwahiyo alitekwa kitengule ila kimisi akatoboa? Huu ni muujiza sana kwa maana kimisi ndo baba lao na panatisha kuliko huko
 
Kumbe Kitengule Hospital ya Tegeta ni ya Muhaya?
Hapo sasa sijui ila hilo eneo alipotekewa ni mpakani mwa kitengule na hiyo uzuri wa kondoo, kuna mashamba makubwa ya gereza la kitengule na ranchi
 
Hapo sasa sijui ila hilo eneo alipotekewa ni mpakani mwa kitengule na hiyo uzuri wa kondoo, kuna mashamba makubwa ya gereza la kitengule na ranchi
Nafikiri Kitengule no ya Muhaya kwani kuna bango kubwa sana pale linaonyesha picha ya Kitengule mwenyewe hospitalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…