Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

Huyu jamaa siku hiyo alidhalilika kweli kweli na jamaa wa ikulu kwa makusudi wakaamua kummulika na makamera yao tangu anaingia getini mwanaume mzima inaelekea siku hiyo hadi p.yumb.u zake zililoa jasho!!
 
Huyu jamaa siku hiyo alidhalilika kweli kweli na jamaa wa ikulu wakaamua kummulika na makamera yao tangu anaingia getini mwanaume mzima inaelekea siku hiyo hadi p.yumb.u zake zililoa jasho!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wewe ungeitwa na Rais kisha aseme uende kwa kusota toka main gate ungemgomea ? Hebu mwacheni Nape atimize majukumu yake - kuhoji deni la taifa imekuwa nongwa ?
 
wewe ungeitwa na Rais kisha aseme uende kwa kusota toka main gate ungemgomea ? Hebu mwacheni Nape atimize majukumu yake - kuhoji deni la taifa imekuwa nongwa ?
Mbona Membe aligoma
 
njaaa mbaya sana kaka......ccm wengi wapo kwa ajili ya matumbo yao
 
Mijitu minafiki mimi huwa siikubali ata siku moja. Shenzi zake huyo nape. Linafiki kweli kweli.
Ulitaka afanye nini? alikuwa hana pa kutokea, nchi zetu zilizojaa udikteta wa kifala na uhuru fake wanaweza kukufanya chochote hata kukuua
 
Ile ya kumwita Nape akaombe msamaha ilipangwa maana mzee baba alikua na safari jimbo la Nape kule mtama ambako pamoja na kumsamehe Nape kwenye macho ya watu wazee walimpelekea moshi mpaka akaacha kuhutubia pale alieomba msamaha sio Nape...
 
Ehee
 
Amakweli dunia panuka tuone mengi...😕🙃
 
Kubwa kuliko nipale alipotishiwa na pyupyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…