Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

Lile jamaa lilikuwa liuwaji lazima Nape awe vile.

..Na Gerson Msigwa alikuwa na mambo fulani ya kitoto sana.

..Yaani ka-set kabisa Camera kumrekodi Nape na kutengeneza senema ya Magufuli kuombwa msamaha.

..Sidhani kama wakurugenzi wa habari wa ikulu wa nchi zinazojielewa wangefanya utoto kama aliofanya Gerson Msigwa.
 
Huyu jamaa siku hiyo alidhalilika kweli kweli na jamaa wa ikulu kwa makusudi wakaamua kummulika na makamera yao tangu anaingia getini mwanaume mzima inaelekea siku hiyo hadi p.yumb.u zake zililoa jasho!!
 
Hahahahahahahahaahahaha
 
Hana tofauti na waliokuwa wanasifu kipindi kile sasa hivi wanaponda au waliosema sisi ni kitu kimoja alafu baadae wanasema walikuwa hawana furaha kufanya kazi...

In Short Politics ni full unafiki na ni watu kama hawa wanaoipa Politics a bad name
 
Kweli kabisa
 
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.

Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.

Aliogopa kutwangwa risasi
 
Kuna Siri kubwa kwenye ujasusi, huenda alifanya vile ili kumuaminisha magu kuwa yeye ndo kila kitu.

Ila nyuma ya pazia wakiendelea kupanga yao, nadhani Siri anayo yeye na kundi lake
 
Huyu jamaa siku hiyo alidhalilika kweli kweli na jamaa wa ikulu kwa makusudi wakaamua kummulika na makamera yao tangu anaingia getini mwanaume mzima inaelekea siku hiyo hadi p.yumb.u zake zililoa jasho!!
Jamani haya mambo hayaishi tu? Tuangalie mbele.
 
Back
Top Bottom