Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kwa kweli LINDO lilikua salama mikonon mwakešYah hapa mwamba alituheshimisha makamanda!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli LINDO lilikua salama mikonon mwakešYah hapa mwamba alituheshimisha makamanda!!
Kulikoni mwenzetu!!oyaaah nasoma hii thread ad mwili unasisimka š„¶
mitungi brotherKulikoni mwenzetu!!
Ni kuipiga kias for leasure & pleasure sio kushindana na mitungimitungi brother
yah haya madude ukuzidisha ni harmfulNi kuipiga kias for leasure & pleasure sio kushindana na mitungi
Siku nikitulia ntaleta story ya kuingia usalama wa taifa pale badala ya njia ya kwenda njia ya hospital ya kariuki, majamaa walinihoji kama lisaa lizima wakachukua vitambulisho vyangu wakatoa copy wakaniacha, uzuri tulikua wawili na wote tulikua na vitambulisho vya chuo, haikupita hata wiki nikataka ku bypass barrier zile njia za ikulu wanazofunga, nikadakwa tena, aisee we acha tu hizi pombe sio poa kabisaNi kuipiga kias for leasure & pleasure sio kushindana na mitungi
Bulyhahulu nimetoka tu juzi hapo, aisee mi sijutii kitu kabisa maana nimefanya hustling za kila aina aiseeUjana ni raha sana kama unajielewa
Mimi wakati niko miaka 22 nimepata kazi Bulyahulu nalipwa dola 500 kwa mwezi, hii ilikuwa 1997 na jeuri ya hela, nilishapigana na wamasai wanne walinzi wa disco huko kanda ya usukumani baada ya kulewa na vitoti vya konyangi kama 30 kavukavu na kung.angania kuingia disco bure, nilikula fimbo za kutosha lakini niliwavua yale mashuka wote kmamaee....
Mpaka mwenye baa alikuja kunituliza na nikakataa na kuingia nikaenda kuugulia maumivu gesti niliyofikia .
matajiri wa zamani mlikuwa na fujo sana šUjana ni raha sana kama unajielewa
Mimi wakati niko miaka 22 nimepata kazi Bulyahulu nalipwa dola 500 kwa mwezi, hii ilikuwa 1997 na jeuri ya hela, nilishapigana na wamasai wanne walinzi wa disco huko kanda ya usukumani baada ya kulewa na vitoti vya konyangi kama 30 kavukavu na kung.angania kuingia disco bure, nilikula fimbo za kutosha lakini niliwavua yale mashuka wote kmamaee....
Mpaka mwenye baa alikuja kunituliza na nikakataa na kuingia nikaenda kuugulia maumivu gesti niliyofikia .
tupe hii storySiku nikitulia ntaleta story ya kuingia usalama wa taifa pale badala ya njia ya makumbusho, majamaa walinihoji kama lisaa lizima wakachukua vitambulisho vyangu wakatoa copy wakaniacha, uzuri tulikua wawili na wote tulikua na vitambulisho vya chuo, haikupita hata wiki nikataka ku bypass barrier zile njia za ikulu wanazofunga, nikadakwa tena, aisee we acha tu hizi pombe sio poa kabisa
Ningepotezwa kifala sana, aisee usalama wako makini tofauti na tunavyodhani, walinihoji kwa kina sana wale jamaa, mara ya pili wale wa ikulu uzuri walikua nadhani ni police force tu wakanichomoa hela ya bia wakaniambia nisepetupe hii story
Fikiria nilikuwa pale kakola 1997-1999 nafanya kazi kwenye kampuni moja ya canada inaiitwa Tanzoro, ilikuwa inalipa hela nzuri kinoma , kuna wale Drillers wazee waliofanya kazi enzi za STAMICO walkuwa wanakamata mpaka dola 1200 kwa mweziBulyhahulu nimetoka tu juzi hapo, aisee mi sijutii kitu kabisa maana nimefanya hustling za kila aina aisee
usalama wangekumaliza aiseeNingepotezwa kifala sana, aisee usalama wako makini tofauti na tunavyodhani, walinihoji kwa kina sana wale jamaa, mara ya pili wale wa ikulu uzuri walikua nadhani ni police force tu wakanichomoa hela ya bia wakaniambia nisepe
Sawa mkuu ukipata muda usiache kutusimulia ili tujifunze..Siku nikitulia ntaleta story ya kuingia usalama wa taifa pale badala ya njia ya kwenda njia ya hospital ya kariuki, majamaa walinihoji kama lisaa lizima wakachukua vitambulisho vyangu wakatoa copy wakaniacha, uzuri tulikua wawili na wote tulikua na vitambulisho vya chuo, haikupita hata wiki nikataka ku bypass barrier zile njia za ikulu wanazofunga, nikadakwa tena, aisee we acha tu hizi pombe sio poa kabisa
Nomayah haya madude ukuzidisha ni harmful
Kitambo sana na hio pesa ilikua nyingi sana, drillers ni kazi ya kibabe mtu asichukulie poa aisee, ndo hivyo wazungu bado wanakula miamba tu na hata lami ya kufika kakola wamegoma kutuwekea, ujinga sana. Kwa wazawaFikiria nilikuwa pale kakola 1997-1999 nafanya kazi kwenye kampuni moja ya canada inaiitwa Tanzoro, ilikuwa inalipa hela nzuri kinoma , kuna wale Drillers wazee waliofanya kazi enzi za STAMICO walkuwa wanakamata mpaka dola 1200 kwa mwezi
Huko ndio nilikutana na RIP Gardner Habash aliotea kazi ya uhasibu
huki tulia hii ni bonge ya thread inabid utupe ni insparition kam miaka ya tisini ulikuwa unakunja M wew ulikuwa don bhnFikiria nilikuwa pale kakola 1997-1999 nafanya kazi kwenye kampuni moja ya canada inaiitwa Tanzoro, ilikuwa inalipa hela nzuri kinoma , kuna wale Drillers wazee waliofanya kazi enzi za STAMICO walkuwa wanakamata mpaka dola 1200 kwa mwezi
Huko ndio nilikutana na RIP Gardner Habash aliotea kazi ya uhasibu