Sitasahau siku pombe zilitaka kunitoa roho

Sitasahau siku pombe zilitaka kunitoa roho

Ningepotezwa kifala sana, aisee usalama wako makini tofauti na tunavyodhani, walinihoji kwa kina sana wale jamaa, mara ya pili wale wa ikulu uzuri walikua nadhani ni police force tu wakanichomoa hela ya bia wakaniambia nisepe
Hehehe mtakuja kunyeshewa mvua za risasi mfe kizembe na baadae kuja kujulikana ulikuwa mlevi ni baada ya kufika kwa sir God....kuna maeneo mengine ni Very risk.
 
Hiyo hela ndiyo naionea huruma ilivyoteketezwa pasipo maana
 
Napambana sana kuiacha. Jana namchungulia wife. Anashangaa huyu vipe
 
Back
Top Bottom