Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Alikuwa shetani kwenye mwili wa binadamu
 
PUMBA
 
Japo Magufuli hakuongeza mishahara lakini pia hapakuwepo na huu mfumuko wa bei uliopo sasa, kwa kifupi Magufuli na Samia hawana tofauti kwenye hili la kuinua hali ya wafanyakazi.
Kwani mfumuko WA BEI umesababishwa na Samia ? Mbona mnakuwa na vichwa vikubwa lakini akili hamna ?
 
kama wewe ni mtumishi wa umma, basi serikali imepata hasara kukuajiri. uandishi wako ni wa kiwango duni sana, haueleweki.

hata mimi mwenye elimu ya darasa la saba ambaye nimejiajiri katika kazi ya bodaboda, nimekuzidi.

mbaya zaidi unaweza ukakuta una elimu ngazi ya degree au masters.
 
Hakuna mtumishi wa Serikali atakayepata nyongeza ya 23%
 
Kiufupi kama ulikuwa kwenye Kazi ambazo hazina marupurupu na posho lazima uwe uliuona moto maana Mwendazake hapana aisee..

Mwendazake alikuwa anajua kutumia pesa ila kutafuta au kuweka mazingira ya kuzalisha pesa ndio mtihani.
Meko alikuwa ni mjinga Sana , imagine Ile Tabia yake ya kutembea na kugawa maburungutu ya fedha as if hizo pesa anatoa mfukoni mwake , halafu lilivyokuwa na roho mbaya na kukosa akili , likawa linataka liwatumie wafungwa kwenye tenda za serikali ,yaani hata basic understanding ya economy halina , makampuni mengi ya ujenzi yalikufa Kwa sababu ya ulofa WA huyo bwege na sekta nyingine nyingi Tu makampuni mengi yaliyoajiri watu wengi yalifunga vilago , likakopa pesa nyingi halafu linajimwambafai na kuwadanganya mazoba ,"Tunatumia pesa za ndani " na mazoba yakakubali na kukenua Meno ,too bad Hilo likofuli likatumia pesa za Uma kuhonga na kununua Malaya WA kisiasa toka upinzani na kuharibu uchaguzi mkuu .Likaua demorasia na Uhuru wa habari na kujieleza , likabambikizia wapinzani kesi ,likatengeneza vikosi vya mauaji , likaua watu na kutesa na kufilisi watu mali zao Kwa kesi za kubumba na vitisho .

Na uchumi likauharibu na halitaki kukosolewa

Yaani hii nchi ilikuwa banana republic kabisa , thugs everywhere
 
Tuachane na habari za Magufuli tusimame na Mama Samia kwa sasa. Hayati tutamkumbuka kwa mema yake ila kwa sasa KAZI IENDELEE.
 
Mikataba yenu inasemaje kwani ? Mie si mtumishi wa umma, lakini katika mkataba wangu kumeainishwa kiwango cha uongezekaji wa mshahara. Sasa bado najiuliza aliwazaje Magufuli aliyoyafanya na vipi watu wanaweza kujipanga yasijirudie tena huko mbele ya safari.

Kwanini watu hawaburuza mahakamani serekali ? Kuna haja ya kuundwa tume kutoa repoti ya kuweza kukabiliana na kadhia kama hizi.
 
Hongera kwa wafanyakazi wa umma naona mnapata unafuu wa maisha SasaπŸ˜…
 
Reactions: nao
Bora huo utaahira wa hivyo kuliko wa Mungu wenu alioufanya kuwanyima haki zao watu.
Unaongezewa elfu 1000 alafu unapandishiwa bidhaa kwa sh elf 5 huo ni utahira na upumbavu
 
Wewe ni lipumbavu na lichawa na tunakujua!

Mafuta ya kula toka 3000 kwa lita mpka 10000
Petrol toka 2500 hadi 3400
Unga toka 800 hadi 1800
Mchele toka 1500 hado 2500
Mbolea toka 50 hadi 180,000
Lim paper toka 8000 mpka 25000

Haya twambie hiyo ni asilimia ngapi?

Usiwe chawa huku wewe ni masikini tu.
 
Acha upumbavu bana!..
.
Ukame upi?

Wewe unagizaga mafuta ya kula toka ukrein na urusi?
 
Unaongezewa elfu 1000 alafu unapandishiwa bidhaa kwa sh elf 5 huo ni utahira na upumbavu
Utaahira ni huu ulioandika hapa,
Hivi miaka 6 vitu havikupanda Bei?
Alikua anafuata Sheria au ubabe kutokupandisha mishahara Wala kutoa nyongeza?
Angelikuwepo Hadi Leo watumishi wangeambiwa Kuna vita wasubrie viishe angeongeza kwerikweri[emoji23][emoji23]
 
Acha uzwazwa dogo, ukiacha sukari iliyopanda toka 1800 mpka 2500 twambie ni kitu gani kingine kilipanda bei?

Mtu ni masikini na ukoo wako unaliwa na umasikini huko vkijijini alafu bado unaleta uchawa wa kipumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…