MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Msiwalaumu hao ni kwakuwa k wamezijulia ukubwani na unakuta ana kidemu hicho hicho kimoja anasuuza rungu...lkn mtu kama ana mademu kibao hawezi endeshwa na mwanamke!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kujua baada ya hilo tukio maisha yenu yaliendeleaje? Mlianza vipi kupiga stori tena?N0w yup0 tegeta kule kuleanahama vyumba tu...ila urafiki unaendelea ila hauna nguvu...maisha yanaendelea...
😂😂😂😂😂😂😂 Wanawake wabinafsi ukiwasikiliza sana unapoteaMimi mshikaj anayemsikiliza demu wake namuona bwege tu.
Mimi ndio ingekuwa mwisho wa kusalimiana na huyo bwege yan tungeshafunga chapta tunaanza upya na watu wengineNatamani kujua baada ya hilo tukio maisha yenu yaliendeleaje? Mlianza vipi kupiga stori tena?
Mapenzi ya mkataba mpaka kufaUpwiru noumaa
🤣🤣🤣🙌Mapenzi ya mkataba mpaka kufa
Duh watu mna mapito,mi kuliko kushuhudia huo ushenz,bora nkalale kanisan au polisMimi rafiki yangu aliwahi kunifadhili nikalala kwake ila sikupenda alivyo mla dem wake mbele yangu tena hawakujifunika hata shuka ***** zao[emoji3062][emoji3062]
Siku nyingine kama unaishi na mwana geto inabidi muwe mnakutana na demu wako mchana ama kama anakuja kulala Basi umuandae mapema mwanao acheki namna .Nilishawahi kumtoa geto usik rafk yang anipishe shemej yake anakuja.. masikin ya mungu kesho yake anakuja kunambia alikabwa na vibak usku ule wakamuibia Na sim.. dah niliumia ila sina jinsi