Kuna jamaa bwana tumwite G, aliomba hifadhi kwa msikaji wake A na A ananyumba nzima, kuna siku wakaenda kuangalia mpira ila kila mtu akaenda sehemu yake anayojua yeye ila ile G karud nyumbani kakuta godoro lake na nguo zake zipo nje alafu mlango umefungwa yan yule A alivitoa vitu nje barazan akimtaka jamaa asepejl, jamaa kupiga simu ikawa haipokelewi basi bwana G akaamua kutandika Godoro pale barazani, akauchapa usingizi pale sababu ilikuwa saa saba usiku, kabla hajasinzia vizuri mvua kubwa ikaanza godoro linaloa yeye analoa, ikabid aamke alale amesimama, mida ya saa nane na nusu A anarud nyumbani alafu yupo na mwanamke, kampita jamaa nje kama hamjui kachoma ndani kafunga mlango kalala, wakati wapo ndani mwanamke anamuuliza jamaa "baby yule nje nan? Jamaa likajibu achana nae mlinzi yule".... Kuna masela wana roho ngumu sana