Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

Hawa walikuwa madogo akili wote sawa [emoji1] sasa utananii vipi huku unajua mwenzako yupo chumba cha pili tena utakuta hakina hata mlango ndio maana jamaa alivyoinuka tuu dada wa watu kasikia kaanza kupiga kelele

[emoji23][emoji23][emoji23] bi dada alijua wanataka kumfanya mbuzi wa kafara
 
Kanichekesha alivyoibuka km Rambo [emoji23][emoji23][emoji23]

Na muongo anasingizia kukosa hewa eti!! Yeye aseme walimtia stimu akadinda [emoji23][emoji23] alitaka akapige MMF pumbavu zake
Jamaa ilitakiwa atoe tu pua zake nje aendelee kuuchapa usingizi sasa yeye kaibuka mzima mzima 😄
Ila sio poa ufunikwe na minguo michafu sipatii picha inavyowasha 😆
 
Jamaa ilitakiwa atoe tu pua zake nje aendelee kuuchapa usingizi sasa yeye kaibuka mzima mzima [emoji1]
Ila sio poa ufunikwe na minguo michafu sipatii picha inavyowasha [emoji38]

Unakuta kamuwekea na boksa lake shenzy huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza Akili yangu ikinituma nifanye jambo naloona sahihi mpenzi wangu haweZi nikataza labda mke tena sio kila kitu..yaani mpenzi wangu ndo aniambie Masharti eti sitaki ulaze marafiki zako kwenye nyumba yangu!!!!anajua wananisaidia nini kwenye Maisha????

Pili jamaa ajakomaa kiakili haweZi kuishi na mwanamke

Tatu, huna rafiki labda huyo ni rafiki Yako ila wewe sio rafiki yake..

Nne,nasikitika sana kuona wanaume tunapoteza code za kiume...

Mwanamke hataki mtu asiye na maamuzi kwani ungesubiri nje then urudi kwenye kochi kulala au angekupa hela ya lodge .

Sioni sababu ya kukubali kuishi na mtu then umuone mzigo..

Na hizi tabia za kuthamini mademu kuliko masela zimewacost wengi sana..demu sio mke..
Wanaume tuishi humu.[emoji123]
 
Jamaa ilitakiwa atoe tu pua zake nje aendelee kuuchapa usingizi sasa yeye kaibuka mzima mzima [emoji1]
Ila sio poa ufunikwe na minguo michafu sipatii picha inavyowasha [emoji38]
Jamaa itakua walimpandisha stimu na zile kelele akatoka mafichoni [emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji1787]em ngoja aje atujibu. Alikua na sababu gani ya kunyanyuka mzima mzima si angetafuta kauwaz apate hewa atulie
Yeye mwenyewe akiwa huko kwenye handaki alimsikia bi dada akimpiga biti mwamba 😄 alafu sipatii picha dada angefumua nguo alafu akute mtu ingekuwa ni kituko cha mwaka 😆
 
Back
Top Bottom