Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

Kwanza Akili yangu ikinituma nifanye jambo naloona sahihi mpenzi wangu haweZi nikataza labda mke tena sio kila kitu..yaani mpenzi wangu ndo aniambie Masharti eti sitaki ulaze marafiki zako kwenye nyumba yangu!!!!anajua wananisaidia nini kwenye Maisha????

Pili jamaa ajakomaa kiakili haweZi kuishi na mwanamke

Tatu, huna rafiki labda huyo ni rafiki Yako ila wewe sio rafiki yake..

Nne,nasikitika sana kuona wanaume tunapoteza code za kiume...

Mwanamke hataki mtu asiye na maamuzi kwani ungesubiri nje then urudi kwenye kochi kulala au angekupa hela ya lodge .

Sioni sababu ya kukubali kuishi na mtu then umuone mzigo..

Na hizi tabia za kuthamini mademu kuliko masela zimewacost wengi sana..demu sio mke..
 
Mkuu kuna watu mbunye wamezijulia ukubwani zonawaendesha kochizi.
 
Ogopa sana mtu anaye endekeza wanawake hakawii kukuacha kwenye mataa 😃🍻
 
Back
Top Bottom