Sitashangaa Lissu akipozwa na Pesa!

Sitashangaa Lissu akipozwa na Pesa!

Unamjua Lissu unamsikia? Nenda na hizo hela kama hajakulipua kesho maana hanaga mchezo na mafisadi. Huyu alipaswa apewe TAKUKURU walau kwa mwaka mmoja tu nadhani 70% ya majizi yangekua mahakamani!!
Hao ndo Wana tamaa ya pesa balaa. 2015 Mzee wa Monduli alipataje nafasi ya kugombea Urais?
 
Unamjua Lissu unamsikia? Nenda na hizo hela kama hajakulipua kesho maana hanaga mchezo na mafisadi. Huyu alipaswa apewe TAKUKURU walau kwa mwaka mmoja tu nadhani 70% ya majizi yangekua mahakamani!!
Huyu huyu anayetembezà bakuli huko CCM wamchangie hela ya kununua gari? Au kuna LISSU tofauti na huyo.
 
1. Bongo hakuna mkate mgumu mbele ya chai "pesa".

2. Hizi "harakati uchwara" ni njaa tu.

3. Likiwekwa dau mezani kila mtu anawaza TUMBO lake.
Harakati uchwara zipi? Lisu huwa hataki Rushwa yeyea anapenda haki na hata wakitaka kumuomba chochote waende kuongea nae kawaida bila kumtangazia pesa mbele atawasikiliza vizuri
 
Unamjua Lissu unamsikia? Nenda na hizo hela kama hajakulipua kesho maana hanaga mchezo na mafisadi. Huyu alipaswa apewe TAKUKURU walau kwa mwaka mmoja tu nadhani 70% ya majizi yangekua mahakamani!!
Wewe unajua nini, huyo hata kunyapia maslahi yake kelele zote hizo ni hali ngumu kule ukimbizini.
Akilegezwa atawaacha hapohapo mnapigishana makelele.
 
1. Bongo hakuna mkate mgumu mbele ya chai "pesa".

2. Hizi "harakati uchwara" ni njaa tu.

3. Likiwekwa dau mezani kila mtu anawaza TUMBO lake.
hayupo wa kumpooza mtu mwenye mdomo kama huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

Infact,
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa watampooza kwenye sanduku la kura vizuri tu ili ikawe fundisho kwa wenye midomo na makelele kama yake 🐒
 
Back
Top Bottom