Sitashangaa Lissu akipozwa na Pesa!

Sitashangaa Lissu akipozwa na Pesa!

Hao ndo Wana tamaa ya pesa balaa. 2015 Mzee wa Monduli alipataje nafasi ya kugombea Urais?
Huna point man, by then mwenyekiti wa chama alikuwa nani?
Makama mwenyekit alikuwa nani?

Hao ndio walihusika na mchezo mzima, sio lissu. Na ndio ikaleta shida na mtawanyiko kwenye chama
 
1. Bongo hakuna mkate mgumu mbele ya chai "pesa".

2. Hizi "harakati uchwara" ni njaa tu.

3. Likiwekwa dau mezani kila mtu anawaza TUMBO lake.
Mbona Mbowe kaponzwa na visenti kidogo tu
 
Hao ndo Wana tamaa ya pesa balaa. 2015 Mzee wa Monduli alipataje nafasi ya kugombea Urais?
Tatizo wadanganyika wanaweka mahaba mbele , kuna kipindi humu ilikuwa huwaambii kitu kuhusu Mbowe...sasa hivi wanatoa milio...kila mwanasiasa ana bei na huwa ni suala la muda tu
 
Mbona za Abdul alizikataa na inasemekana ulikuwa ni mtonyo wa kwenda tu
 
Hakuna kinacho shindikana. Sifa zimezidi, watu wanamsifia kama walivyokua wanamsifia Magufuli, yeye ndio anaakili kuliko wote, yeye ndio anaiweza CCM!!? Wenye nchi ni wananchi, huyu nae atakuja disappoint watu hawataamini.
 
Mbona za Abdul alizikataa na inasemekana ulikuwa ni mtonyo wa kwenda tu
Mtonyi ulikua hautoshi, na alikua very strategic sana, kitendo cha kuzunguka na gari yenye matundu ya risasi alikua anajijenga kisiasa hakua anakijenga chama chake, huyu anafika bei vizuri tu. #WenyeNchiWananchi
 
lissu ananjaa na ndo maana kila siku anadai oooh pesa zangu za matibabu wakati watanzania walimchangia na matibabu alipata sasa anadai eti pesa zake za matibabu kama sio njaa ni nini ? Sio hivo tu hata pia kachangiwa mamilioni ya kununua gari sijui hizo pesa kapeleka wapi ?? Ni kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Lissu alikuwa mwanasheria mkuu wa chama na alihusika kikamilifu

View: https://youtu.be/s93Zy4xNeZ0

View: https://youtu.be/EL5eo9bWOHw

Good, but kuna contradiction la kibao kwenye maneno anayo ongea. Kwanza its seems idea ilikuwa ni ya silaa, baadae silaa aka bail out ( i dont know why)
But then at level ya mwanasheria wa chama, ana nguvu gani by then ?
But also hakuna direct proof kwamba alipokea rushwa, the only people kwenye hiyo position was mwenyekiti.
Lissu on his own words, he thought wanampets mtu mwenye watu wengi( kwa chadema ni asset) but if he will repent his sins (ufisadi)

But mwenyekiti had other plans
 
Yeye kama mshauri wa mambo ya kisheria katika chama na jinsi alivyokuwa vocal kipindi hicho hawezi kukwepa kuhusika
 
Mtonyi ulikua hautoshi, na alikua very strategic sana, kitendo cha kuzunguka na gari yenye matundu ya risasi alikua anajijenga kisiasa hakua anakijenga chama chake, huyu anafika bei vizuri tu. #WenyeNchiWananchi
Huyu sidhani,hana cha kupoteza kwani tayari kama kupotea alishapotea ila kasalimika.

We huoni pamoja na kulipwa haki zake zote na mama baada ya mwendazake kumgomea lakini bado anamkazia mama na Serikali yake,kila siku anamkazia tu
 
Back
Top Bottom