Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Bado hujatulia katika utunzi wa story, mtafute singanojr pengine anaweza kukuvusha ukawa mtunzi nguli.Ni ukweli kabisa jina la ID yangu sijawai kuona lolote kwangu ni mekwenda kila mmoja ananiogopa maana kama vitengo vyote na mashuuda yako yamekataa.
Kisa cha mganga:
nilikwenda kwa mganga sikupata chochote zaidi ya mimi kupambana mwenyewe mpaka yule mwandulami na wababe kujikinga.
Kisa cha sheik:
nimekutana na masheik mpaka wale wanajua kupambana na majini na mmoja wapo ni waraisi mstaafu yupo hai ni kapa zaidi ya kunikwepa mpaka misikitini.
Kisa cha manabii:
hawa wanajua kutoa mapepo ila hata siku moja wakiniona wanaround about wakioniona mpaka kanisani kwao.
Kisa cha wachungaji:
hawa ni group la mwisho ambao nawaona kama nawajua sana kama masheik tu.
ID yangu naweza kukujua unacho fanya wengi wemethibitisha japo ndio napo tokea huko