Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

Kibongobongo ni noma kulea damu ya mpita njia, ila uko Maghribi ni fresh tu adi wana Adoption watoto wanakuwa kama wakwao
 
Nikizaa na mke wangu ukaleta pua yako kuwa mtoto ni wako ukitegemea ntamfukuza au kukuachia mtoto unajidanganya, mtoto sikupi na mke akileta ujinga namtimua,
Yaani mimba nitunze mimi mtoto uje uchukue wewe?
Je mtoto akitaka kumjua baba yake halisi wa kibayolojia?
 
Sawa nimekuelewa mkuu
wewe hata ukichapiwa hujali
unachohitaji ni watoto tuu
safi sana,
 
Ushauri: kama wewe na mke 'umnashaka' na features ya mtoto itakuwa jambo la busara mkapime DNA.
Facts huwa inasaidia kuliko kukaa na doubts..
 
Asante kwa kunilelea mtoto wangu ubarikiwe mkuu. Akiwa mkubwa mamake atamwambia ukweli kuwa wewe sio babake mzazi.
 
Asante kwa kunilelea mtoto wangu ubarikiwe mkuu. Akiwa mkubwa mamake atamwambia ukweli kuwa wewe sio babake mzazi.
Hahhah mkuu maisha kujipa stress ni kujitakia tu.

Uzuri ni kwamba unamlea mtoto kwa malezi ya upendo mpaka hakusahau.

Uzuri wa baba awe amekulea ndio utapata ile feeling ya baba
 
Mkuu yamekusibu yepi mpaka umefikiria hivyo? Baba ni yule aliyetoa jasho kukulea, mtoto hata akitaka kumjua baba yake halisi/ kibaiolojia bado hawezi kukusahau, Tulee watoto wote kwa upendo
 
Mkuu yamekusibu yepi mpaka umefikiria hivyo? ,,baba ni yule aliyetoa jasho kukulea,,, mtoto hata akitaka kumjua baba yake halisi/ kibaiolojia bado hawezi kukusahau, Tulee watoto wote kwa upendo
Nimeona mambo ya DNA yamekithiri sana.

Alafu mimi nilipopata mtoto sikuwa na hofu ya kwamba sio wangu,na wala sikuwa na mpango wa DNA na wala mtoto mwanzo hakufanana na mimi,ila sikuwa na presha hata kidogo,wengine wanataka mtoto afanane na wao kila kitu
 
Mke wangu alafu mtu aseme mtoto wake
Itaniuma sana.

Nikifikiria tu kwamba ili aseme mtoto ni wake it means alikuwa anamchagama wife
Hapo hamna wife tena bila hata kupima DNA tunaachana
 
Ukichanganya mayai ya kuku na kwale yatatotolewa yoote na kulelewa vilanga wote

Lakini mwisho wa siku vitajichambua tuu hata ukijifanya kutojua utofauti wao


Kama wew3 sio baba wa mtoto amua kumlea tui lakino ujue ipo siku atamtaka baba yake. Labda majirani wooooote walioshuhidia mimba yake wafe.
 
Baada ya kukosa mnachotarajia kutoka midomoni mwetu lazima mtakimbia kwenye mioyo yetu


Mdomo na moyo ni vitu viwili tofauti.

Unaweza kujifariji mdomoni Kwa kijiongopea lakini sio moyoni.

Ndio maana nikasema sio vibaya kujifariji mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…